Mti mmkavu
Member
- May 24, 2023
- 36
- 68
Tarehe ndio hizooo mambo bado uko wale wa kwa mangi tukalipe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13][emoji137][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu ukilala unaota mshahara tu[emoji1][emoji1]nakuonaasTarehe ndio hizooo mambo bado uko wale wa kwa mangi tukalipe
Mangi ananikaba koo mpaka na kanauli kenyewe kanayoyoma 🤣🤣🤣[emoji13][emoji137][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mkuu ukilala unaota mshahara tu[emoji1][emoji1]nakuonaas
Halafu tar zikikaribia Msg za bank zinaingia unafungua haraka haraka kumbe wanakupa matangazo yao...[emoji1][emoji1][emoji1]siyo msg ya mshahara weeee usiombe[emoji1732][emoji1732][emoji474][emoji474]Mangi ananikaba koo mpaka na kanauli kenyewe kanayoyoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwanabwana hizi pressure nyingine ndio zinamaliza nguvu hata miguu inachoka mapema kupiga Tz 11 🤣🤣🤣 kwani mambo bado tuu.?Halafu tar zikikaribia Msg za bank zinaingia unafungua haraka haraka kumbe wanakupa matangazo yao...[emoji1][emoji1][emoji1]siyo msg ya mshahara weeee usiombe[emoji1732][emoji1732][emoji474][emoji474]
Hili tabasamu sio bure, kwani tayari jamani, nianze kumvimbia mangi ?
🤣🤣👋Hili tabasamu sio bure, kwani tayari jamani, nianze kumvimbia mangi ?
Mkuu naona balance kwako iko sawa, huku hali tete 😭😭😭 bado uko wakulungwa ?😃😃😂😂😂
kua na subira mkuuMkuu naona balance kwako iko sawa, huku hali tete 😭😭😭 bado uko wakulungwa ?
Subira kanikimbia nyumbani nae anasema mangi kazidi kupiga piga hodi 😭😭😭kua na subira mkuu
🙄🙄🙄 Mangi leo hanisamehe tuu 🙉🙉🙉Leo ni bila bila labda kesho mambo yanaweza kuwa sawa
Mkuu Tanzania yetu hii kubwa sana, huko tayari kweli au huku umechelewa kufika 🤔🤔🤔Mbona tayari😃😃
Afya tayariMkuu Tanzania yetu hii kubwa sana, huko tayari kweli au huku umechelewa kufika 🤔🤔🤔
Ugumu hauna kada mkuu 🤔🤔🤔Walimu bwana