Mwezi wa kichekoo

Kama ni kweli basi crdb wanazingua sana yani wao kila mara wanachelewa tu... hawajui kuwa watu tuna madeni kibao
Mkuu hali ikizidi kubana, familia inasikitika muda wote na miguu inazidi kufa ganzi wasitufanyie hivyo waungwana hawa
 
Wazee wa vikao hizi tarehee mtuachee 🀣🀣🀣 mibuyu inaanguka tii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…