Mwezi wa pili wa juhudi ya kupunguza uzito wa mwili; umegoma kuleta matokeo. Tatizo ni nini?

Mwezi wa pili wa juhudi ya kupunguza uzito wa mwili; umegoma kuleta matokeo. Tatizo ni nini?

mimi naomba siku niwe na over 75kg....[emoji15][emoji15][emoji15]...
Jitahidi uwe na peace of mind mambo mengi uyapuuzia na uwe na wakiki wa basic needs nchi maisha yako sio kuiga watu, utapata huo mwili unao tamani.
 
Nipo Kwa hii safari pia japo mwili wangu sio mbaya ila nahitaji kupunguza kiasi..... Niliacha kunywa chai na mchana kutoa kula (ni kama fasting mode flani) japo baadhi ya siku mchana nakula simple may be muhogo Moja au machungwa

Kwa mwezi sasa (japo usiku nakula bila kujinyima) nimekata kg 5...

Mwezi huu nataka kubadili Nile mchana as I wish na usiku nisile kabisaaaa

Note.... Mazoezi pia nafanya kama dk 30 Kwa siku

Any comment.
 
Kama nilio anza juhudi zangu za kupunguza uzito, huu ni mwezi wapili kwa kutumia mfumo ule ule wa kula mlo moja mboga za majani sana na kuepuka vyakula vyenye wanga sana kama chapati ugali na chapati. Mwezi wa kwanza matokeo yali patikana kwa kupungua 8kg.

Kwa kuendelea na utaratibu huo huo mwezi wa pili nimepima leo matokeo ni kwamba ni mepungua 0.5kg nusu kg tatizo ni nini? Mwili umezoea huo mfumo kuna haja ya kubadili diet au mfumo na mda wa kula?

Target yangu ni kumpungua 20kg ndani ya mwezi mitatu ila naona mwezi wa pili nimepunguza nusu kilo tu, na bado nimebakiza mwezi moja. Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!
Tengeneza matukio yatakoyo kuletea stress, (changamoto), haya yako mengi sana
 
Kwa
Kinywa maji yam moto, yachemshe kama ya chai lakini usitie kitu, maji tu.

Kabla hujala kitu hakikisha unapata lita moja, kianzia hapo mpaka inapofika saaza chakula cha mchana, hakikisha umeshapiga lita nyingine moja. Baadaya chakula cha mchana piga lita mpoja. Baada ya chakula cha usiku, kabla hujalala hakikisha lita nyingine moja.

Usinywe tena maji ya baribi, fanya maji ya moto ndiyo maji yako. Utakojowa kwa wingi na unene utakutoka tu, na maradhi mengine yoyote yataondoka. Inaitwa "hot water therapy".
Kwaio anywe maji ya moto kama chai ama
Namna Gani pale
 
Nipo Kwa hii safari pia japo mwili wangu sio mbaya ila nahitaji kupunguza kiasi..... Niliacha kunywa chai na mchana kutoa kula (ni kama fasting mode flani) japo baadhi ya siku mchana nakula simple may be muhogo Moja au machungwa

Kwa mwezi sasa (japo usiku nakula bila kujinyima) nimekata kg 5...

Mwezi huu nataka kubadili Nile mchana as I wish na usiku nisile kabisaaaa

Note.... Mazoezi pia nafanya kama dk 30 Kwa siku

Any comment.
What's your total present kg?
 
Fanya intermittent fasting, anza na ya 16/8
 
phat people.png
 
Kwani maji pia yananenepesha? Naona umemwambia anywe kulingana na kiu yake.
Kuna watu husisitiza unywaji wa maji mengi. utasikia kunywa lita tano kwa siku. mi naona kitu sahihi ni kunywa maji kulingana na mahita ya mwili wako!
 
Mbona ni metumia hivo hivo soma uzi wangu kwa makini kisha utowe maoni yako.
Katika uzi wako umesema umeepuka vyakula vyenye wanga sana, ina maana vyenye wanga kidogo ulivitumia.
Mimi nasema acha kabisaaaaa matunda, mboga na vyakula na vya wanga mwingi na kidogo.
 
Katika uzi wako umesema umeepuka vyakula vyenye wanga sana, ina maana vyenye wanga kidogo ulivitumia.
Mimi nasema acha kabisaaaaa matunda, mboga na vyakula na vya wanga mwingi na kidogo.
Mkuu wewe wajua vyakula visio kua na wanga kabisa unitajia ili niweze kuvitumie hivyo.
 
Kuna watu husisitiza unywaji wa maji mengi. utasikia kunywa lita tano kwa siku. mi naona kitu sahihi ni kunywa maji kulingana na mahita ya mwili wako!
Ni kweli maji mengi pia kuharibu na kuchosha urine brander atimae unapata ugonjwa wa kibomvu cha mkojo, kunywa maji kulingana na mahitaji ya mwili wako
 
Unene wako unakuzuia kufanya mambo yako, au kuna issues unakwama kwasababu ya unene??

Kwanini usifanye mazoezi kujiweka fit tu, mwili uwe skanganga.
 
Mkuu wewe wajua vyakula visio kua na wanga kabisa unitajia ili niweze kuvitumie hivyo.
hebu nipe ratiba yako na vyakula ulivyokuwa unatumia kwa lengo la kupunguza uzito
 
hebu nipe ratiba yako na vyakula ulivyokuwa unatumia kwa lengo la kupunguza uzito
Mboga mboga gimbi matunda na mchemsho wa samaki au kuku.......kila siku mlo moja tu usiku saa mbili hapo vip?
 
Ngoja nikupe njia nyepesi kidogo na itakusaidia kwa haraka. Tafuta majani ya mlonge mabichi, purura kisha osha na uyasage kwenye blender kama smooth kunywa asubuhi na usiku kabla ujalala. ukiiweza hii utapungua mpk utashangaa na yanakata njaa na kuondoa sumu mwilini tumia mpk uone umetosheka na mwili ulioupata. Ilapia weka nidhamu ya ulaji kwa kupuza suka,wanga na mafuta kwa kiwango fulani kisha kabla hujala jizoeshe kunyw amaji kwanza yanasaidia ule kidogo mpk utakapozowea.
 
Back
Top Bottom