JumaKilumbi
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 432
- 507
- Thread starter
- #21
Umbali inategemea na usafiri unaotumia.Umbali sahihi ni km ngapi asifunge?
Kuna tofauti baina ya wanazuoni, wapo wanaosema ni 80-83km, na wengine wanasema ni umbali wowote ambao watu wa sehemu husika huchukulia kama safari.