Mwezi wa Ramadhani: Mambo 6 yanayobatilisha swaum yako

Umbali sahihi ni km ngapi asifunge?
Umbali inategemea na usafiri unaotumia.

Kuna tofauti baina ya wanazuoni, wapo wanaosema ni 80-83km, na wengine wanasema ni umbali wowote ambao watu wa sehemu husika huchukulia kama safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…