Mwezi wa tisa nahamia rasmi Dar

Mwezi wa tisa nahamia rasmi Dar

Njoo Big Stone mkuu mm ntakuwa mwenyeji wako. Ila kama ww ni mlevi bas ntaondoa ubalozi wangu kwako maana huwa sipend rafiki mlevi
Mkuu katika kitu ambacho hakipo akilini mwangu ni ulevi na uvutaji wa sigara.
 
Last edited:
Kero ya Kigamboni ni umeme kukatika katika ingawa ambaye yupo kule tangu 2010 atakwambia sasa hivi haukatiki.
Miaka hiyo umeme ulikua unakatika hadi wiki mbili siku hizi labda ni mara mbili au tano kwa mwezi.

Wamakonde, Waarabu na Wanafunzi wa Chuo ndiyo wengi.

Ukifika ukiulizia gesti ukiona unapelekwa gest ambayo hamtumii barabara ya lami ila mmeingia makazi ya watu na nje ni kama nyumba kataa.
Ni mbaya sana, kuanzia huduma mpaka samani zake.

Wanajeshi wa Navy hawatojisumbua na kukulinda jilinde mwenyewe, kua attention haswa haswa ukiwa pale Ferry usiku na maeneo ya huku mbele usiku wa manane.

Kuna siku pantoni litazingua kama utaamua kupanda fiber/ vimtumbwi jiridhishe kua hakuna meli inayoingia au kutoka. Walikufa watu zaidi ya 5 siku hiyo na haikutangazwa popote.

Hairuhusiwi kupiga picha ndani ya pantoni, ukikamatwa jifanye hujui kiswahili. Hairuhusiwi kuingia na mtungi wa gesi kwenye pantoni.

Nauli ya pantoni ni 200, nashauri uwe na hela inayochenjika kwa urahisi pia kama wameishiwa tiketi hautapita hadi wazipate upya. Kama ni askari utapita bila kulipa na hata mwendokasi hautalipia.
Mkuu asante kuna baadhi ya vitu nimejifunza hasa kwa upande wa kuvuka kwa fiber... Kifo kipo popote lakini ikitokea tumezama ntajitahidi kujljikuna nnapojipata mpaka utakapokuja msaada maana mimi sipo jiwe ila sina mazoezi sana niliacha kitambo kuogelea.

Kwa upande wa upigaji picha kwenye pantoni hilo nalijua maana nilishavuka sana. Pamoja na yote kuna mengi hapa mkuu nimekusoma vizuri tupo pamoja.
 
Umepangiwa kituo gani cha polisi?
Mkuu, karibu sana huku Uwanja wa Swala Kigamboni.
 
Hahahhaha tulikua geto pipo 5 tunachat na smart kigambon maeneo ya big brother aloo kushtuka saa 10 wote tupo hoi atuna cm wala laptop ata moja na nyumb ilikua na ukuta by the way upande wa dirishan kulikua na njia it’s ws 2015 karb kigambon[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkuu asante kuna baadhi ya vitu nimejifunza hasa kwa upande wa kuvuka kwa fiber... Kifo kipo popote lakini ikitokea tumezama ntajitahidi kujljikuna nnapojipata mpaka utakapokuja msaada maana mimi sipo jiwe ila sina mazoezi sana niliacha kitambo kuogelea.

Kwa upande wa upigaji picha kwenye pantoni hilo nalijua maana nilishavuka sana. Pamoja na yote kuna mengi hapa mkuu nimekusoma vizuri tupo pamoja.
Kaka sasa utaogeleaje huku meli inakuvuta?
 
Karibu kwny ulingo wa visu bisibisi na mapanga
Jitahidi kuwahi kurudi kabla ya saa 5 usiku
Usiwaamini bodaboda usiku pindi uwapo barabarani peke ako hasa ukiwa na kamzigo kenye kuashiria thamani mgongoni(begi lenye laptop n.k)
Jitahid kufunga geti au mlango wako mida ya usiku(hapa unajihadhari na ambush) kwa baadhi ya maeneo
Maji ya bomba ya huku yanatofautian sana na maji ya bomba ya posta na maeneo jirani
Uvumilie purukushani za SUMA JKT kwny kufungiwa geti ukiwa unawahi panton
Karibu Kigambon
 
Hahahaha... Kwenye kufungiwa get I na suma jkt nishazowea kipindi naenda kutembea. Ila shukrani kuna mambo mengi nitakua na tahadhari nayo.. Mimi kawaida nikifika pale nakua na mtu wangu maalum wa boda boda hata saa saba za usiku namuita na anakuja kunipeleka ntakapo.
 
Kuna siku pantoni litazingua kama utaamua kupanda fiber/ vimtumbwi jiridhishe kua hakuna meli inayoingia au kutoka. Walikufa watu zaidi ya 5 siku hiyo na haikutangazwa popote.
hapa sign ya kujua meli inayotoka pale bandarini ni honi ila sign ya meli kuingia bandarini siijui
 
hapa sign ya kujua meli inayotoka pale bandarini ni honi ila sign ya meli kuingia bandarini siijui
Hua tag boat inaranda randa katikati pale ili kuzuia pantoni isipite.
 
Hakikisha mkeo kama hujamdunga mimba baai kamilisha hilo zoezi huko na kama unae na bado wa makamo, nenda kaage kwa wazee afanyiwe tambiko.
 
Back
Top Bottom