Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
-
- #21
Mkuu katika kitu ambacho hakipo akilini mwangu ni ulevi na uvutaji wa sigara.Njoo Big Stone mkuu mm ntakuwa mwenyeji wako. Ila kama ww ni mlevi bas ntaondoa ubalozi wangu kwako maana huwa sipend rafiki mlevi
Mkuu asante kuna baadhi ya vitu nimejifunza hasa kwa upande wa kuvuka kwa fiber... Kifo kipo popote lakini ikitokea tumezama ntajitahidi kujljikuna nnapojipata mpaka utakapokuja msaada maana mimi sipo jiwe ila sina mazoezi sana niliacha kitambo kuogelea.Kero ya Kigamboni ni umeme kukatika katika ingawa ambaye yupo kule tangu 2010 atakwambia sasa hivi haukatiki.
Miaka hiyo umeme ulikua unakatika hadi wiki mbili siku hizi labda ni mara mbili au tano kwa mwezi.
Wamakonde, Waarabu na Wanafunzi wa Chuo ndiyo wengi.
Ukifika ukiulizia gesti ukiona unapelekwa gest ambayo hamtumii barabara ya lami ila mmeingia makazi ya watu na nje ni kama nyumba kataa.
Ni mbaya sana, kuanzia huduma mpaka samani zake.
Wanajeshi wa Navy hawatojisumbua na kukulinda jilinde mwenyewe, kua attention haswa haswa ukiwa pale Ferry usiku na maeneo ya huku mbele usiku wa manane.
Kuna siku pantoni litazingua kama utaamua kupanda fiber/ vimtumbwi jiridhishe kua hakuna meli inayoingia au kutoka. Walikufa watu zaidi ya 5 siku hiyo na haikutangazwa popote.
Hairuhusiwi kupiga picha ndani ya pantoni, ukikamatwa jifanye hujui kiswahili. Hairuhusiwi kuingia na mtungi wa gesi kwenye pantoni.
Nauli ya pantoni ni 200, nashauri uwe na hela inayochenjika kwa urahisi pia kama wameishiwa tiketi hautapita hadi wazipate upya. Kama ni askari utapita bila kulipa na hata mwendokasi hautalipia.
Kaka sasa utaogeleaje huku meli inakuvuta?Mkuu asante kuna baadhi ya vitu nimejifunza hasa kwa upande wa kuvuka kwa fiber... Kifo kipo popote lakini ikitokea tumezama ntajitahidi kujljikuna nnapojipata mpaka utakapokuja msaada maana mimi sipo jiwe ila sina mazoezi sana niliacha kitambo kuogelea.
Kwa upande wa upigaji picha kwenye pantoni hilo nalijua maana nilishavuka sana. Pamoja na yote kuna mengi hapa mkuu nimekusoma vizuri tupo pamoja.
Kwanini sijawahi kukutana nao?48% ya wakazi wa Kigamboni ni majini
Kwanini sijawahi kukutana nao?
Hahahaha ...mkuu asante pamoja tutaonana.Umepangiwa kituo gani cha polisi?
Mkuu, karibu sana huku Uwanja wa Swala Kigamboni.
Ni hatari kwakweli nikumuomba Mungu tu.Kaka sasa utaogeleaje huku meli inakuvuta?
Hahahaha... Kwenye kufungiwa get I na suma jkt nishazowea kipindi naenda kutembea. Ila shukrani kuna mambo mengi nitakua na tahadhari nayo.. Mimi kawaida nikifika pale nakua na mtu wangu maalum wa boda boda hata saa saba za usiku namuita na anakuja kunipeleka ntakapo.Karibu kwny ulingo wa visu bisibisi na mapanga
Jitahidi kuwahi kurudi kabla ya saa 5 usiku
Usiwaamini bodaboda usiku pindi uwapo barabarani peke ako hasa ukiwa na kamzigo kenye kuashiria thamani mgongoni(begi lenye laptop n.k)
Jitahid kufunga geti au mlango wako mida ya usiku(hapa unajihadhari na ambush) kwa baadhi ya maeneo
Maji ya bomba ya huku yanatofautian sana na maji ya bomba ya posta na maeneo jirani
Uvumilie purukushani za SUMA JKT kwny kufungiwa geti ukiwa unawahi panton
Karibu Kigambon
hapa sign ya kujua meli inayotoka pale bandarini ni honi ila sign ya meli kuingia bandarini siijuiKuna siku pantoni litazingua kama utaamua kupanda fiber/ vimtumbwi jiridhishe kua hakuna meli inayoingia au kutoka. Walikufa watu zaidi ya 5 siku hiyo na haikutangazwa popote.
ile propeller ya meli hawezi iepuka hata...... labda awe na nguvu za kijiniKaka sasa utaogeleaje huku meli inakuvuta?
Hua tag boat inaranda randa katikati pale ili kuzuia pantoni isipite.hapa sign ya kujua meli inayotoka pale bandarini ni honi ila sign ya meli kuingia bandarini siijui
Hahahaha..ile propeller ya meli hawezi iepuka hata...... labda awe na nguvu za kijini
Tambiko la nini mkuu.Hakikisha mkeo kama hujamdunga mimba baai kamilisha hilo zoezi huko na kama unae na bado wa makamo, nenda kaage kwa wazee afanyiwe tambiko.