Mwigizaji Ashely Toto kutoka Kenya ndio sababu moja wapo ya ndoa ya Bob Junior kuvunjika

Mwigizaji Ashely Toto kutoka Kenya ndio sababu moja wapo ya ndoa ya Bob Junior kuvunjika

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hapa Bob Junior Akiwa Mombasa na Ashley Toto hivi Karibuni[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hapa Bob Junior Akiwa Ujerumani na Dada Ashley Toto[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wakila Raha Ujerumani Frankfurt[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Wakiwa Ujerumani Mall Wakifanya Shopping[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ashley Toto Ni Msanii wa movies kutoka Kenya ambae makazi yake ni Ujerumani ila kwa sasa yupo Mombasi kwa mapumziko ..Mnyetishaji wa habari ametuhabarisha kuwa wawili hawa wapo mapenzini kwa muda mrefu sana hata alipokuwa Ujerumani Bob Junior huwa anaenda huko kama baadhi ya picha zinavyoosha ..Pia inasemekana kuwa baada ya Mwana Dada huyu kuja Mombasa kwa mapumziko Bob Junior alienda Matembezi huko na Kukaa kwa muda wa week moja akiwa nae na baadae Mwana dada huyo Mrembo alimtafutia Show mbili Huko Mombasa ...Inasemekana ndio Sababu mojawapo ya mke wake kuona wivu wa mapenzi na kuamua kuachana na Bob junior..
 
Vijana tusioe/kuolewa kabla ya kumaliza ujana wetu starehe mabinti vibuzi ...sasa hapa nini? umeoa ili iweje mxiiuu unakimbilia vitu usivyo viweza maliza kula madada wote mjini ndo uoe...lakini kumbuka condom owk byeee
 
ndo tabu ya kuolewa na wavaa kata k
 
hivi huyo mke wa Bob Junior anaitwa nani?
 
Hii mijitu sijui ikoje,kwenda kula bata huku mkeo unamuacha na mtoto,hii laana sijui unaibebea mgongo upi?sasa umebarikiwa kupata si ule bata na huyo mke wako.Hakuna cha ujana wala nini ulimbukeni tu.
 
Mmh takinga Bob junior for a husband is the highest risk in life.
 
Back
Top Bottom