Mwigizaji Mainda akiwa hospitalini

Mwigizaji Mainda akiwa hospitalini

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

mainda....jpg

Msanii wa Filamu Bongo,Ruth Suka 'Mainda', akiwa Hospitali na mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo ambayo jina lake hakutaka kulitaja mara moja.
SOMA UJUMBE ALIOUANDIKA KWA MKONO WAKE HAPO CHINI...

maindasmallbaby "Trowback.......imebaki historia tu......maana magonjwa sasa hayana nafasi kwangu....nimejua kwa kupigwa kwake Yesu mimi nilishaponywa kitambo. Asante yesu kwa kuchukua udhaifu wangu,magonjwa yangu,unyonge wangu...na Umenipa Tumaini maisha yangu yote acha nikutumikie ipasavyo.japo najua nitakutana na vikwazo ila nitashinda coz wewe ulishafanya njia siku nyingi.mapambano yanaendelea huku nikizidi kukukili wewe Yesu kuwa ndie Bwana na Mwamba wangu....EMMANUEL:GOD with US."
 
Pole dada Mainda utapona kuwa na Imani.
Ila kama doctor anachukua damu kubwa anaenda pima maleria?
 
Ila hizi kamera siku hizi....yaani mtu anaugulia mwingine anakazana na mapicha...hadi kero sasa!
 
Kiburi cha uzima hutufanya tujione ni kila kitu nje ya Mungu lakini ipo siku kila atakayepata neema ya bwana atakiri kwa kinywa chake YESU ndiye Bwana na Mwokozi wake.

Heri waliojua hilo sasa na tumuombe Mungu azidi kutufungua na sisi wengine tujue jinsi ya kuishi kwa namna ile Mungu aliyokusudia na si kwa kuongozwa na akili zetu tu!
 
Sometime nakuaa na feeling...izi ni kikii za ustaa amaa maana mbona mambo ya dr ni private mbona maphoto mi then yanakuja kwenye mitandao au ni staili
 
analia nini sasa? au ameshajua anachoumwa? BTW nowadays kuna "mashudu" wagonjwa wanakula wala hawakondi, full kudunda wanakufa vifo vya ghafla tu.
 
Money Stunna mainda haumwi ni mzima wa afya kabisa hata mafua hana last time nimekuwa nae jana kanisani hiyo ni movie, mainda mzima kabisa
 
Last edited by a moderator:
Aisee, basi kama ni movie inaonesha itakuwa kali
lakini kama anaumwa kweli, basi augue pole!
 
Back
Top Bottom