Mwigizaji Nguli wa India John Abraham kuwasili Tanzania

Mwigizaji Nguli wa India John Abraham kuwasili Tanzania

Mi zaidi ya Mitun, Amita, na Govinda....sijui kabisa hao wengine.

Nina miaka sijatizama hizo muvi.

Naam....zaidi ya enzi hizo sijawahi fuatilia tena...na nikipita karibu na vibanda umiza na kusikia zile movie za kihindi zilizotafsiriwa nakumbuka uwepo wa hizi movies
 
Laiti kanumba angekuepo tungetarajia kitu hapo ila hawa wengine tutaishia kuona selfie tu na wadada kubunyuliwa, kanumba alikua hana utani mzee wa kukaza na kukamatia fursa kama chibudangote kwake ni mwiko kukutana na msanii mkubwa kwake lazima collaboration inukie missing u uncle jj R.I.P
 
Mhindi au mwingine
Hahahahaha
Ndugu zangu endeleeni na shughuli zenu
 
Ehh, kweli kila shetani na mbuyu wake...kumbe movie za kihindi bado zipo
The chronicles of Riddick maamae mzee nimekukubali hasa pale volcano ilipochanganya ukamuambia keira get your ass moving ikashindikana kwasabab miamba kuwa ya moto. Ikabidi umuombe jamaa your rope, give me your rope and all your waterakakupa ukawaambia run and hide in shadow of the valley. Ukachukua yale maji ukajimwagia ukaizungusha ile kamba sehemu nikapenada hule muondoko kislow moshen ukajirusha huku nyuma yako volcano ikikufuata ukamdaka kyeira ukashuka naye na kubwaga chini salama.

Uliponifurahisha uliposimama huku moshi ukikutoka mwilin. Maamae Vin Diesel
 
Eti awasili wakati kumbe anakuja 2018.....aisee hizi division five hizi hatari sana!!
 
Eti awasili wakati kumbe anakuja 2018.....aisee hizi division five hizi hatari sana!!
we ndio huelewi kabisa , nimesema anakuja mwakani kushuti baadhi ya vipande ila movie yenyewe inatarajiwa kutoka 2018 mwanzoni , soma vizuri sio
unakurupuka
 
Hii ingekuwa Kenya kusingekalika huku Afrika Mashariki
 
Huyu jamaa alimpiga chini mrembo Bipasha Bassu alodumu nae kwa miaka 13 alafu akaoa binti kutoka US daah
Bipasha basu yupo katika list ya waliotembea na Christian Ronaldo..Ameolewa mwaka huu mwanzoni na Karan Singh Grover actor mwenzake wa bollywood.

John Abraham yupo ni muigizaji wa siku nyingi japo wengi tulimjua 2004 katika muvie ya Dhoom aliyoigiza na kina Abhishek bachan na Madhoshi aliyoigiza na ex wake bipasha na jism nk...

Active since 1997 - present
 
Back
Top Bottom