Nchi zingine hadi Ikulu wanamkaribisha....sisi tutajifanya kama vile sio muhimu
We jamaa bhana hahahahaha.......Nchi zingine hadi Ikulu wanamkaribisha....sisi tutajifanya kama vile sio muhimu
Mi zaidi ya Mitun, Amita, na Govinda....sijui kabisa hao wengine.
Nina miaka sijatizama hizo muvi.
Wewe na mimi ndio tumeona kuwa lugha yetu imechezewa..Heading inasema "awasili Tanzania" kwenye yaliyomo ndani unasema atawasili mwakani.
muigizaji wa sinema za kihindiNi nani huyo?
Wewe na mimi ndio tumeona kuwa lugha yetu imechezewa..
Kizaz hiki sijui kina nini
Heading inasema "awasili Tanzania" kwenye yaliyomo ndani unasema atawasili mwakani.
Hahahaha sio fair mkuumbowe
The chronicles of Riddick maamae mzee nimekukubali hasa pale volcano ilipochanganya ukamuambia keira get your ass moving ikashindikana kwasabab miamba kuwa ya moto. Ikabidi umuombe jamaa your rope, give me your rope and all your waterakakupa ukawaambia run and hide in shadow of the valley. Ukachukua yale maji ukajimwagia ukaizungusha ile kamba sehemu nikapenada hule muondoko kislow moshen ukajirusha huku nyuma yako volcano ikikufuata ukamdaka kyeira ukashuka naye na kubwaga chini salama.Ehh, kweli kila shetani na mbuyu wake...kumbe movie za kihindi bado zipo
Ang'ekuja wakati wa mzee wa msoga ang'ekaribishwa ikulu lakini awamu hii ya mzee wa chatto atuwezi kumkaribisha ikuku.Nchi zingine hadi Ikulu wanamkaribisha....sisi tutajifanya kama vile sio muhimu
we ndio huelewi kabisa , nimesema anakuja mwakani kushuti baadhi ya vipande ila movie yenyewe inatarajiwa kutoka 2018 mwanzoni , soma vizuri sioEti awasili wakati kumbe anakuja 2018.....aisee hizi division five hizi hatari sana!!
Bipasha basu yupo katika list ya waliotembea na Christian Ronaldo..Ameolewa mwaka huu mwanzoni na Karan Singh Grover actor mwenzake wa bollywood.Huyu jamaa alimpiga chini mrembo Bipasha Bassu alodumu nae kwa miaka 13 alafu akaoa binti kutoka US daah