Mwigizaji wa Bongo Movies Esha Buheti Akiri Kuchepuka Nje ya Ndoa

Mwigizaji wa Bongo Movies Esha Buheti Akiri Kuchepuka Nje ya Ndoa

Kama mtu bado unatabia ya kushangaa na upo penye mitandao nakuonea huruma bimaana maajabu naona kama yamekwisha kwa tanzania.
 
Mh anasema kabisa yumo ndani ya ndoa na anachepuka nahis nati zitakua zimelegea kichwani mwake

nadhani umaarufu wake umeshuka, anatafuta sababu ya kuandikwa na magazeti aendelee kuzungumzwa ili ajulikane na kwa wasiomjua
 
Global wamepotezea maana hana soko wakimuweka front page hata watu hawanunui. Kaamua kuja na style mpya ya kujisifia kuchepuka nje ya ndoa mradi tu wamuandike apate soko maana ashadoda
 
Eeh kuna watu utoto unawasumbua " eti namuweka mtandaoni kisha nafuta haraka haraka". Kwani umeombwa umuweke au kisebengo chako? Hawa ndo wanaofanya wanawake wa bongo movies wote waonekane hawajitambui

Nilikuwa namuonaga anajielewa hyu sijui nani anarogwa hawa mbwa
 
Huyo dada kitu kimoja tu kinambeba...kisura chake tu ila kwingineko hamna kitu..yupo flat sauti ya Kama ya kiume yaani duh.

Yani umesema vile vile nilivyokuwa natak kusema, yan nyuma kama dume,tak lake sijui limekaaje
 
Huyu mwanamke atakuwa ndio kaoa huyo mume na huyo mumewe ni mario ndio maana anadhalilishwa hivi.
 
Back
Top Bottom