Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
Mh anasema kabisa yumo ndani ya ndoa na anachepuka nahis nati zitakua zimelegea kichwani mwake
Eeh kuna watu utoto unawasumbua " eti namuweka mtandaoni kisha nafuta haraka haraka". Kwani umeombwa umuweke au kisebengo chako? Hawa ndo wanaofanya wanawake wa bongo movies wote waonekane hawajitambui
Huyo dada kitu kimoja tu kinambeba...kisura chake tu ila kwingineko hamna kitu..yupo flat sauti ya Kama ya kiume yaani duh.
Wanajiroga wenyewe na umaarufu ushenzi wao. Utadhani wote wamepitia darasa la kutojitambuaNilikuwa namuonaga anajielewa hyu sijui nani anarogwa hawa mbwa