Mwigizaji wa Ghana aliyepiga picha za utupu na mtoto wake, aomba radhi

Hakuna side view ya hiyo picha..labda right view hiv tuone fresh
 
Current generation are suffering from 'psychological social proof'
 
Wanawake wa kimataifa hawaoni inshu kumtunuku mtoto uroda kwa jinsi walivyoharibika na utundawazi /globalization wao wakipumbavu
 
Kitu hiki kingefanywa na mwanaume basi dunia nzima ingelaani, ubaya wa hizi picha hua hazifutiki sijui anaandaa maisha gani kwa mwanae
 
Umenichekesha ndugu yangu maana zamani chai haikuepo ingekuepo ungekuwa unafuata mbaazi kila ili unywe na chai
 
Hata yesu alikufa ili wengine wapone..
Hebu jitoe sadaka si siku ya tatu tu utarudi hewani.. wacha songombingo weka mambo hadharani weyee..[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kudadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…