Mwigizaji wa Ghana aliyepiga picha za utupu na mtoto wake, aomba radhi

Mwigizaji wa Ghana aliyepiga picha za utupu na mtoto wake, aomba radhi

Hapo wamevalishwa kilazimaView attachment 1495253
1139A3BF-27F2-4021-B09F-ECAF5BFBE8A7.jpeg
 
Unamaanisha nini?Sijakuelewa.Natamani ningekuelewa!
Mama bila shaka anasubiri mtoto aanze kumtamani ili waanze kufanya yaoo/kunjunjuana
Akifika 12/13 tuu

mana mwili anaoujua ni wa mama ake!..na km bado wanaoga wote basi tena
 
Mkuu nafungua uzi wako ole wako sasa nisikutane na hizo picha za utupu huko ndani hatutoelewana nakwambia.
 
Demu Jana amekula Mvua Ya 90-day imprisonment for publication of obscene material and domestic violence.
Eeeh! Sababu ya hiyo picha?
Mimi picha sina tatizo nayo nilichoshtushwa ni hiyo ya kuoga na mtoto wa miaka 7.
 
Eeeh! Sababu ya hiyo picha?
Mimi picha sina tatizo nayo nilichoshtushwa ni hiyo ya kuoga na mtoto wa miaka 7.
The sentence is obviously harsh. Others have done much worse and walking free. Looks like the law is trying to make an example of her, given her position of privilege and wide following on social media. People who enjoy such popularity and fame must be seen to set good examples..... Hatari Na Nusu
 
Okay ndo yule yuko naked na mwanae naked, Frustrations zinasomeka usoni kwake, na hizo pombe anazoweka ndani na huyo mwanae lazima awe anatumia tu,

Anyways as ameomba msamaha, sawa tu.
Wacha yamkute siku dogo kashapigapombe zake na yy kama aNko
 
Back
Top Bottom