kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Ha ha haHata yesu alikufa ili wengine wapone..
Hebu jitoe sadaka si siku ya tatu tu utarudi hewani.. wacha songombingo weka mambo hadharani weyee..[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haHata yesu alikufa ili wengine wapone..
Hebu jitoe sadaka si siku ya tatu tu utarudi hewani.. wacha songombingo weka mambo hadharani weyee..[emoji28]
Hapo wamevalishwa kilazimaView attachment 1495253
Mama bila shaka anasubiri mtoto aanze kumtamani ili waanze kufanya yaoo/kunjunjuanaUnamaanisha nini?Sijakuelewa.Natamani ningekuelewa!
Tuko pamoja Mkuu?.[emoji15][emoji15][emoji15]
Mama kukaa uchi mbele ya mwanae wa kiume na kuoga nae ni tabia njema?.Siamini kama hizi tabia mbaya huwa zipo kwa wanawake pia.Never!
NakaziaWatu wanajifanya fyatu kumbe Wana Yao. Umaarufu Una Mambo.
Usikute hapo anatafuta instagram followers tu hii dunia ina kila aina ya watu aiseeWatu wanajifanya fyatu kumbe Wana Yao. Umaarufu Una Mambo.
SanaUsikute hapo anatafuta instagram followers tu hii dunia ina kila aina ya watu aisee
UbarikiweIla mtoto kavaa nguo View attachment 1495288
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nafungua uzi wako ole wako sasa nisikutane na hizo picha za utupu huko ndani hatutoelewana nakwambia.
Demu Jana amekula Mvua Ya 90-day imprisonment for publication of obscene material and domestic violence.
Eeeh! Sababu ya hiyo picha?Demu Jana amekula Mvua Ya 90-day imprisonment for publication of obscene material and domestic violence.
The sentence is obviously harsh. Others have done much worse and walking free. Looks like the law is trying to make an example of her, given her position of privilege and wide following on social media. People who enjoy such popularity and fame must be seen to set good examples..... Hatari Na NusuEeeh! Sababu ya hiyo picha?
Mimi picha sina tatizo nayo nilichoshtushwa ni hiyo ya kuoga na mtoto wa miaka 7.
Wacha yamkute siku dogo kashapigapombe zake na yy kama aNkoOkay ndo yule yuko naked na mwanae naked, Frustrations zinasomeka usoni kwake, na hizo pombe anazoweka ndani na huyo mwanae lazima awe anatumia tu,
Anyways as ameomba msamaha, sawa tu.