TANZIA Mwigizaji wa South Africa, Lindiwe Ndlovu amefariki akiwa nyumbani kwake

Hii kitu inatisha sana Mkuu. Haijawahi kutokea duniani ugonjwa unaouwa watu kwa speed kubwa na idadi kubwa kama huu. Hata hiyo pandemic ya 1918 sidhani kama ilikuwa deadly kiasi hiki.
Itakuwa😷
 
Hii kitu inatisha sana Mkuu. Haijawahi kutokea duniani ugonjwa unaouwa watu kwa speed kubwa na idadi kubwa kama huu. Hata hiyo pandemic ya 1918 sidhani kama ilikuwa deadly kiasi hiki.
Hatari sana tuendelee kunywa tangawili na malimao na kuchukua tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…