TANZIA Mwigizaji wa South Africa, Lindiwe Ndlovu amefariki akiwa nyumbani kwake

TANZIA Mwigizaji wa South Africa, Lindiwe Ndlovu amefariki akiwa nyumbani kwake

Yaani umenifanya niingie Instagram nim follow. Naamini yuko hai bado, nimetafuta taarifa zake sijaona wakiongelea kifo chake zaidi ya kuona walishamsingizia kifo mara kadhaa
Ni kweli mkuu,mwenyewe niliwahi kuona fake news kwamba amefariki lakini baadae ikatoka taarifa ya kukanusha so inawezekana ni sahihi yu hai
 
Mimi waigizaji wa isidingo ninao wsfahamu ni

1.Derrick Nyati

2.Mr. & Mr. Matabane

3. Papa D

4.Letii Mathabane

5.Paulsen Matabane
 
Hujaiona?

Hayo ni madhara ya kumiliki vitu vifuatavyo halafu kila saa unaviongelea au kuvionyesha mbele ya watu ili kujimwambafy kuwa wewe ni matawi

1. SIMU.......TEKUNO

2.USAFIRI....AIST

3.NYUMBA SKWATA TOFALI CHOMA MGONGO WA TEMBO
 
Back
Top Bottom