Pre GE2025 Mwigulu aenda kwenye saluni ya uswahili kujichanganya na wananchi wa kawaida. Muda wa viongozi kujifanya wanyonge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka majimboni:BearLaugh::BearLaugh: eti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo:BearLaugh::KEKWlaugh:

Maigizo haya, mwishowe kijumba kiporomoke kwa uchakavu wafe, ili tu kufanya maigizo yao yaaminike badala ya kuboresha huduma wao wanaigiza maisha ya kimasikini kana kwamba ni sifa.

Iramba kumenoga!

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Muda ndio huu kijifanya uko karibu na wananchi
 
Hichi kipindi Cha karibu na uchaguzi huwaga wanaoshaga hadi vyombo Kwa kina mama ntilie
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka majimboni:BearLaugh::BearLaugh: eti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo:BearLaugh::KEKWlaugh:

Maigizo haya, mwishowe kijumba kiporomoke kwa uchakavu wafe, ili tu kufanya maigizo yao yaaminike badala ya kuboresha huduma wao wanaigiza maisha ya kimasikini kana kwamba ni sifa.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Siasa ni Sayansi

Ameingia kunyoa lakini nje zinasikika sauti za akina Mama wanamwimbia 🙌
 
Wakuu,

Mambo yanazidi kuchangamka majimboni:BearLaugh::BearLaugh: eti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo:BearLaugh::KEKWlaugh:

Maigizo haya, mwishowe kijumba kiporomoke kwa uchakavu wafe, ili tu kufanya maigizo yao yaaminike badala ya kuboresha huduma wao wanaigiza maisha ya kimasikini kana kwamba ni sifa.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

[/QUOTE
Kama huyo ndo kiazi kabisa.
 
Hizo ni Ghiriba za kisiasa ili aweze kuwatapeli Wananchi Wajinga kwenye Uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu wa 2025
 
Masikini kumteka ni virahisi mno sawa na ng'ombe mwenye njaa ya siku tatu hajala
 
Uchaguzi 2025 tutaona mengi!
KULA/KURA yasumbuwa chukuwachakomapema!
 
Back
Top Bottom