Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Huu ndio muda unaweza hata kumtuma waziri dukani na akatii kwenda 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadanganyika walivyo mazumbukuku hakika juju imeingiaWakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka majimbonieti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo
Maigizo haya, mwishowe kijumba kiporomoke kwa uchakavu wafe, ili tu kufanya maigizo yao yaaminike badala ya kuboresha huduma wao wanaigiza maisha ya kimasikini kana kwamba ni sifa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna kipindi hicho hicho jiwe alivyomla kichwa,tukawa tunakula nae ugali mnafu bar flani hapo dodoma.Kama kile kipindi alipotumbuliwa akaanza kuposti picha amekaa chini anakula Ugali matembele.