Hajapandisha pichaaa?Wakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka majimbonieti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo
Muda ndio huu kijifanya uko karibu na wananchiWakuu,
Mambo yanazidi kuchangamka majimbonieti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo
Maigizo haya, mwishowe kijumba kiporomoke kwa uchakavu wafe, ili tu kufanya maigizo yao yaaminike badala ya kuboresha huduma wao wanaigiza maisha ya kimasikini kana kwamba ni sifa.
Wakuu,

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

[/QUOTE
Kama huyo ndo kiazi kabisa.
Hizo ni Ghiriba za kisiasa ili aweze kuwatapeli Wananchi Wajinga kwenye Uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu wa 2025Wakuu,