Pre GE2025 Mwigulu aenda kwenye saluni ya uswahili kujichanganya na wananchi wa kawaida. Muda wa viongozi kujifanya wanyonge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wadanganyika walivyo mazumbukuku hakika juju imeingia
 
Kama kile kipindi alipotumbuliwa akaanza kuposti picha amekaa chini anakula Ugali matembele.
Kuna kipindi hicho hicho jiwe alivyomla kichwa,tukawa tunakula nae ugali mnafu bar flani hapo dodoma.
 
Khangaa kofia tshirt.....ubwabwaa....mafuta kwente boda...mbunge in the making
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…