OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Katika wizara yake ufisadi umeenea kuanzia juu mpaka chini. Waziri anajua hachukui hatua kwa sababu alihusishwa. Bunge linasema, Rais yupo kimya. Nani anamlinda zaidi ya Rais mwenyewe. Kama Rais anampenda zaidi basi amkabidhi biashara zake binafsi,huku kwetu hawezi