Mwigulu akabidhiwa Tuzo kutambua mchango wake katika kuunga mkono na kutekeleza kwa vitendo maono ya Rais Samia

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekabidhiwa tuzo maalum ya kutambua mchango wake katika kuunga mkono na kutekeleza kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kukuza na kuimarisha sekta ya utalii nchini.

๐Ÿ“Arusha-Tanzania
๐Ÿ—“๏ธJanuari 31, 2026

โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”-

Amekabidhiwa tuzo hiyo jana wakati wa hafla ya ugawaji Tuzo za Kitaifa za Uhifadhi na Utalii (Serengeti Awards).

Your browser is not able to display this video.
 
Faki zati sonofabitch!
 
Miezi miwili kazini kapewa tuzo๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
tuzo ya maono tena๐Ÿ˜‚???
 
tuzo ya maono tena๐Ÿ˜‚?
 
Wauaji wamejawa na uwendawazimu. Wanahangaika na matendo ya aibu tupu wakiamini wanajiinua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ