Mwigulu akutana na wamiliki wa Mabasi nchini

Mwigulu akutana na wamiliki wa Mabasi nchini

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—ͺπ—”π— π—œπ—Ÿπ—œπ—žπ—œ π—ͺ𝗔 π— π—”π—•π—”π—¦π—œ π—‘π—–π—›π—œπ—‘π—œ.

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo Septemba 18, 2026.
 

Attachments

  • IMG-20260918-WA0059.jpg
    IMG-20260918-WA0059.jpg
    198.5 KB · Views: 13
  • IMG-20260918-WA0051.jpg
    IMG-20260918-WA0051.jpg
    357.9 KB · Views: 12
  • IMG-20260918-WA0053.jpg
    IMG-20260918-WA0053.jpg
    232.6 KB · Views: 14
  • IMG-20260918-WA0061.jpg
    IMG-20260918-WA0061.jpg
    406.1 KB · Views: 11
  • IMG-20260918-WA0057.jpg
    IMG-20260918-WA0057.jpg
    266 KB · Views: 9
  • IMG-20260918-WA0055.jpg
    IMG-20260918-WA0055.jpg
    308.1 KB · Views: 12
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—žπ—¨π—§π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—ͺπ—”π— π—œπ—Ÿπ—œπ—žπ—œ π—ͺ𝗔 π— π—”π—•π—”π—¦π—œ π—‘π—–π—›π—œπ—‘π—œ.

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo Septemba 18, 2026.
well done Dr Mwigulu Nchemba PM of Tanzania 🀝
 
Changamoto hujanywa dawa zako na unajijua mgonjwa wa akili..!!
maradhi ni kawaida kwa binadamu hilo fahamu. Na nakuombea afya njema ya akili.

hata hivyo,
natamani kujua ikiwa kuna changamoto mTanzania yeyote yule kumiliki mabasi ya mikoani πŸ’
 
Kwa sasa yaruhusini mabasi yanayoenda Arusha na Kilimanjaro, yaondokee some where kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, pale Kawe, yaingie new Bagamoyo road, mpaka Mapinga, mpaka Msata, mpaka mikoa ya Kaskazini.

Baadae wajenge stendi ya pili (medium size regional bus stand) ya bei rahisi, ya mabasi haya, hapo hapo Tanganyika Packers.

Dar es Salaam ni jiji kubwa sana sasa. Linahitaji three regional bus stands. Magufuli bus stand plus hiyo Kawe Tanganyika Packers bus stand plus regional bus stand ya mabasi ya kwenda Lindi na Mtwara.
 
𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ NAYE NI π— π—œπ—Ÿπ—œπ—žπ—œ π—ͺ𝗔 π— π—”π—•π—”π—¦π—œ YA ESTER LUXURY
Cha kusikitisha hakuna mwenye uwezo wa kupost evidence za ku support huu uvumi.
 
Back
Top Bottom