Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
well done Dr Mwigulu Nchemba PM of Tanzania π€πππ§. π πͺπππ¨ππ¨ πππ¨π§ππ‘π π‘π πͺππ πππππ πͺπ π ππππ¦π π‘ππππ‘π.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam leo Septemba 18, 2026.
kwani changamoto ni ipi hapo kwamfano ndugu mdau?πKakutana na wamiliki wenzie yeye akiwa mmiliki wa Ester bus
Changamoto hujanywa dawa zako na unajijua mgonjwa wa akili..!!kwani changamoto ni ipi hapo kwamfano ndugu mdau?π
FigisuKakutana na wamiliki wenzie yeye akiwa mmiliki wa Ester bus
Kwa hiyo jamaa sasa hivi ni kichaa?Changamoto hujanywa dawa zako na unajijua mgonjwa wa akili..!!
Ukweli ndo huoFigisu
Wewe unamuona timamu huyo?Kwa hiyo jamaa sasa hivi ni kichaa?
maradhi ni kawaida kwa binadamu hilo fahamu. Na nakuombea afya njema ya akili.Changamoto hujanywa dawa zako na unajijua mgonjwa wa akili..!!
Huyo ni chizi mbona toka day 1.Wewe unamuona timamu huyo?
Changamoto ipo ni bwanaako mwigulu anamiliki Estermaradhi ni kawaida kwa binadamu hilo fahamu. Na nakuombea afya njema ya akili.
hata hivyo,
natamani kujua ikiwa kuna changamoto mTanzania yeyote yule kumiliki mabasi ya mikoani π
tuliza mihemko getleman,Changamoto ipo ni bwanaako mwigulu anamiliki Ester
Wanajadili watu wasigomeElezea wame discuss nini kwenye hiyo meeting
Hakikaaaaaaπ―Kakutana na wamiliki wenzie yeye akiwa mmiliki wa Ester bus
Cha kusikitisha hakuna mwenye uwezo wa kupost evidence za ku support huu uvumi.π πͺπππ¨ππ¨ NAYE NI π πππππ πͺπ π ππππ¦π YA ESTER LUXURY