Mwigulu amenilazimu niweke mafuta ya elfu 10,000 kwenye pikipiki ili nipeleke Tsh 2,000,000 Kijiji jirani

Mwigulu amenilazimu niweke mafuta ya elfu 10,000 kwenye pikipiki ili nipeleke Tsh 2,000,000 Kijiji jirani

Miaka ya nyuma posta walikuwa wanatuma fedha kwa tozo dogo, sijui hii huduma kama bado ipo
Leo nimetumiwa fedha toka Morogoro kwa basi na tozo dogo lilolipwa ofisi ya kampuni husika nikaenda kuchukua kwa ajenti wao Mbezi
 
Ungepiga chini kwa bahati mbaya wajanja wangezifaidi sema mungu mkubwa umefika salama
 
Back
Top Bottom