Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Jul 21, 2021 #21 VAPS said: Jamaa eti ana ndoto za kuwa no.moja!!! Click to expand... Huyo fala awe namba moja ya wachunga ng'ombe
VAPS said: Jamaa eti ana ndoto za kuwa no.moja!!! Click to expand... Huyo fala awe namba moja ya wachunga ng'ombe
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Jul 21, 2021 #22 Rais wa kwenye mawe 2015-2020 chenga sana
K kalonji JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,300 Reaction score 8,152 Jul 22, 2021 #23 Karibu buyenzi,bitale,gitega
B Babu Ochu JF-Expert Member Joined May 30, 2021 Posts 844 Reaction score 1,469 Jul 22, 2021 #24 Miaka ya nyuma posta walikuwa wanatuma fedha kwa tozo dogo, sijui hii huduma kama bado ipo Leo nimetumiwa fedha toka Morogoro kwa basi na tozo dogo lilolipwa ofisi ya kampuni husika nikaenda kuchukua kwa ajenti wao Mbezi
Miaka ya nyuma posta walikuwa wanatuma fedha kwa tozo dogo, sijui hii huduma kama bado ipo Leo nimetumiwa fedha toka Morogoro kwa basi na tozo dogo lilolipwa ofisi ya kampuni husika nikaenda kuchukua kwa ajenti wao Mbezi
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,311 Reaction score 9,027 Jul 22, 2021 #25 gimmy's said: Hoja ya msingi kwa Akili za mwigulu,mitandao ikifanya Vibaya watapoteza ajira kiasi gani? Click to expand... Ni Mwigulu na Wabunge wenzake waliokuwa wanapiga meza na kushangilia.
gimmy's said: Hoja ya msingi kwa Akili za mwigulu,mitandao ikifanya Vibaya watapoteza ajira kiasi gani? Click to expand... Ni Mwigulu na Wabunge wenzake waliokuwa wanapiga meza na kushangilia.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Jul 22, 2021 #26 Ungepiga chini kwa bahati mbaya wajanja wangezifaidi sema mungu mkubwa umefika salama
N nkese JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 3,066 Reaction score 2,809 Jul 22, 2021 #27 Sungudi said: Ila kodi ya kwenye mafuta umelipa!!! Asante. Click to expand... Kafanya na utalii wa ndani!
Sungudi said: Ila kodi ya kwenye mafuta umelipa!!! Asante. Click to expand... Kafanya na utalii wa ndani!
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Aug 29, 2021 #28 yakowazi said: Swala sio kusevu ngapi muhimu ni kususia uharasmia Click to expand... Sio uharamia bali ni WIZI wa mchana kweupe.
yakowazi said: Swala sio kusevu ngapi muhimu ni kususia uharasmia Click to expand... Sio uharamia bali ni WIZI wa mchana kweupe.