Mwigulu amkingia kifua mkurugenzi fisadi

Mwigulu amkingia kifua mkurugenzi fisadi

Nkerejiwa

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
147
Reaction score
219
Katika hali sintofahamu mwigulu anawatisha madiwani wa halmashauri ya iramba ambao wamekwisha azimia kumvua ukurugenzi Bi Halima Mpita kutokana na kufanya ufisadi wa milioni 800 toka ahamie iramba na milion 200 alizopora ktk mradi wa maji na pia anatimua na kuwahamisha watumishi wasiounga mkono wizi wake

Madiwani wamemkataa mkurugenzi huyo wiki iliyopita lakini wamepokea vitisho kutoka Mwigulu akiwataka wasimfukuze mkurugenzi huyo

Tayari Mwigulu amemtuma mkuu wa mkoa Kone ili azime jambo hili leo na tayari anatarajia kuwatisha wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya ccm ambao tayar wanaunga mkono maazimio ya madiwani.

Hii ndio sura halisi ya anaejiita SOKOINE WA PILI hahahahaha...

Wanairamba sasa tunajuta kumfahamu Mwigulu Nchemba

Wenu: Nkerejiwa-Mjumbe kamati ya siasa ccm Iramba
 
Katika hali sintofahamu mwigulu anawatisha madiwani wa halmashauri ya iramba ambao wamekwisha azimia kumvua ukurugenzi Bi Halima Mpita kutokana na kufanya ufisadi wa milioni 800 na milion 200 alizopora ktk mradi wa maji.

Madiwani wamemkataa mkurugenzi huyo wiki iliyopita lakini wamepokea vitisho kutoka Mwigulu akiwataka wasimfukuze mkurugenzi huyo

Tayari Mwigulu amemtuma mkuu wa mkoa Kone ili azime jambo hili leo na tayari anatarajia kuwatisha wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya ccm ambao tayar wanaunga mkono maazimio ya madiwani.

Hii ndio sura halisi ya anaejiita SOKOINE WA PILI hahahahaha...

Wenu: Nkerejiwa-Mjumbe kamati ya siasa ccm Iramba

Pole ndipo anapopiga pesa kwa ajili ya UCHAGUZI 2015......................
 
Jamaa anatafuta mpunga kwa hali na mali ,helkopta co ya bure no free lunch in America !
 
Huyo ndie sokoine wenu. Haya mwaka tutashuhudia mengi
 
Huyu si ndio wale wake ukoo wa panyabuku? Sioni ajabu hapo
 
Huyo ngoja madhambi yake aliyofanya kule Igunga na kote Mungu ata mumbua ,juz mpaka wafanyabiashara kawadanganya .
 
Huyo DED ni ndugu wa Mkuchika na Hawa Ghasia. Kwa hiyo usitegemee hatua yoyote kuchukuliwa.
Na Mwigulu anaweza kuwa naye kachukua Mgao.
 
Ukawa mlete mgombea mchukue jimbo
wewe una yako u
mejaa wivu na fitina kwa kutaka usichokiweza
huwezi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Tawi au Kata ukaacha kazi zako na kuwapigia debe UKAWA
(ina maana UKAWA wakichukua hata serikali ya mtaa hapo kwako huwezi kuwa na cheo hicho chako)
 
Back
Top Bottom