Mwigulu katika Yanga ni Mwanachama wa kawaida, na hii haimaanishi kuwa Kiongozi hawezi kushauriana na Mwanachama kutafuta mustakabali wa timu.
Mwiguli hakumrudisha Mwl. Hans, bali aliongoza mazungumzo ya takribani siku tatu kutafuta muhafaka kati ya Viongozi na Hans.