Mwigulu ana cheo gani Yanga?

Mwigulu ana cheo gani Yanga?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Naomba kueleweshwa....kuna kitu sijakielewa kabisa

Nilikua najua kuwa Manji ndo mwenye final say Yanga

na ni Manji alipoona kocha Hans kama hamridhishi akaanza kutafuta kocha mwingine

akampata mzambia...kabla mzambia haja saini Hans akaona kama
amedhalilishwa akaamua kujiuzulu

na Manji akaridhia yote hayo....na manji ndo anaelipa mshahara wa kocha huko Yanga


sasa tena nasikia Mwigulu 'kamrudisha Hans' Yanga...


nimebaki na maswali.....sasa mshahara atatoa yeye Mwigulu?

na Manji je? hana tena maamuzi huko Yanga?

au kuna mtu kaelewa?
 
Binafsi pia sijaelewa kabisa, wenye kujua tafadhali tupeni msaada wa taarifa.

Hasa hasa wana Yanga, taarifa wakuu.
 
watu wamekalia kuona sehemu flani inakuwa na mtafaruku kama kulivyo kwa majirani, hapa Mwigulu amewapa funzo kwamba akiondoka/akiondolewa mtu kwenye timu yenu basi kwa kutumia uanachama wako unaweza kujenga hoja ya kurudishwa tena mtu huyo ili aendelee na kaz yake kwani timu ni ya watu zaidi ya milion na sio mmoja au wawili.
 
Mwigulu katika Yanga ni Mwanachama wa kawaida, na hii haimaanishi kuwa Kiongozi hawezi kushauriana na Mwanachama kutafuta mustakabali wa timu.

Mwiguli hakumrudisha Mwl. Hans, bali aliongoza mazungumzo ya takribani siku tatu kutafuta muhafaka kati ya Viongozi na Hans.
 
Back
Top Bottom