Mwigulu mjinga sana. Hajui kuwa akibishia namba ya 10,000 anajiweka katika kazi ya kuzema namba sahihi ni ipi.Eti anatuuliza kama tulikuwepo, kama yeye alikuwepo atuambie aliona polisi wakiua wangapi kama hakuwepo na hajui idadi na anyamaze kimya hana tofauti na wanaosema elfu 10.
View attachment 3517713
PROTECT UR HOLE!SAY NO , DEMONSTRATION PROTECT UR LIFE
Kwahiyo unatufundisha jinsi ya kuishi, Jenista ambaye hakuandamana yuko wapi. Stop the nonsense.No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌*
No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌Kwahiyo unatufundisha jinsi ya kuishi, Jenista ambaye hakuandamana yuko wapi. Stop the nonsense.
ukimskiliza huyu unagundua Kuna shida kubwa huko ndaniEti anatuuliza kama tulikuwepo, kama yeye alikuwepo atuambie aliona polisi wakiua wangapi kama hakuwepo na hajui idadi na anyamaze kimya hana tofauti na wanaosema elfu 10.
Mwigulu alijuaje vituo vya mafuta 672 na pikipiki 2,268 vimechomwa moto, alikuwepo?
Kama hawataki hata ndugu zao wawazike basi awaheshimu aache kuwadhalilisha, maiti zisiwe agenda ya kum impress aliyemteua, siyo busara kila siku kuwasema marehemu kwenye majukwaa ya kisiasa.
STOP MOCKING THE DEAD RESPECT
View attachment 3517713
Sawa wangapi wawili?Ukweli ni kwamba waliokufa ni wachache sana kuliko Magari 917 yaliyochomwa moto!!!
Such an awkward son from haya landNo soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌*
Bora hata Nchimbi haongei. Madelu na WHO ARE U kila wakiongea wanazidi kuharibu.Kila akiongea anaharibu
Hawa wawili ni shida kubwa sanaBora hata Nchimbi haongei. Madelu na WHO ARE U kila wakiongea wanazidi kuharibu.
Kwa hotuba za Mwigulu za kule kanda ya kusini, ninaweza kusema Mwigulu hana PhD, Mwigulu anaongea kama Kibakaji. Hata msukuma ana point kuliko Mwigulu.
Kiwewe, ile miili inatisha sana..yaani ukiiona na uko madarakani vile lazima uweweseke maana unajiona mtu mwenye hatia mda wote na huwezi kujiamini hata kidogo ndo maana jamaa hajui aongee nini..ni kuropoka tuHuyu mshamba hana sera wala hoja kila anapokwenda anaongelea mambo yale yale maandamano na wasanii kama kasuku vile ni mpumbavu sana.