Mwigulu anasema hawafiki elfu 10, atuambie anaowajua ni wangapi

Mwigulu anasema hawafiki elfu 10, atuambie anaowajua ni wangapi

Eti anatuuliza kama tulikuwepo, kama yeye alikuwepo atuambie aliona polisi wakiua wangapi kama hakuwepo na hajui idadi na anyamaze kimya hana tofauti na wanaosema elfu 10.

Yeye alijuaje vituo vya mafuta 672 na pikipiki 2,268 vilichomwa moto, alikuwepo?

Kama hawataki hata ndugu zao wawazike basi awaheshimu aache kuwadhalilisha, maiti zisiwe agenda ya kum impress aliyemteua, siyo busara kila siku kuwasema marehemu kwenye majukwaa ya kisiasa.

STOP MOCKING THE DEAD RESPECT
View attachment 3517713
WAKE UP TANZANIA! This FAKE PM keeps MOCKING the victims of Oct 29 like it's a damn game! Were YOU there when Mhalifu Samia and PolisiCCM SLAUGHTERED 10,000 INNOCENT LIVES?!

This sham administration can't stop REMAKING those lost souls into JOKES! We say YES, TULIKUWEPO! Hand over the BODIES NOW by Dec 25 or FACE THE FIRE!

#TanzaniaRevolt #JusticeForOct29 #SuluhuOut #TanpolMurderers
🔥
🇹🇿
#D25
 
Bora hata Nchimbi haongei. Madelu na WHO ARE U kila wakiongea wanazidi kuharibu.
Kwa hotuba za Mwigulu za kule kanda ya kusini, ninaweza kusema Mwigulu hana PhD, Mwigulu anaongea kama Kibakaji. Hata msukuma ana point kuliko Mwigulu.
Kwa hadhi ya Mwigulu kama kiongozi wa serikali ni wa kuchambana na Mange kweli.
 
Back
Top Bottom