PostGE2025 Mwigulu anasema Wale Wauaji wengine walikua hawajui Kiswahili, Tume yao ije iseme Wauaji walijipenyeza from Kenya

PostGE2025 Mwigulu anasema Wale Wauaji wengine walikua hawajui Kiswahili, Tume yao ije iseme Wauaji walijipenyeza from Kenya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Siku hiyo ilikua niende KUNDUCHI kwa rafiki angu..

Nikaamka vyema nikaenda sokoni nilitumia bajaji vituo vya kupigia kura havikuwa na watu kabisa nikanunua kuku, akaandaliwa nikanunua samakii,nyama mbuzi na ng'ombe...

Niaenda duka liquor 🥃 nikachukua konyagi ndogo moja nikaanza kuinywa ilipo fika saa 5 usingizi ukanijia nikasema ngoja nipeleke mboga na mazaga zaga home nikafika nikalala kuamka 12 jioni aisee wife ananisimulia machafuko nikawa namkatalia kumbe kweriiiii na mtandao ukazimwa duu

Ndio nilipona ivyo otherwise ninge enda KUNDUCHI ningerudi vipi JE ningekua hai muda huu..
 
Kwahiyo Kamishina wa uhamiaji anasubiri nini kuwajibishwa?

Waendelee kushikana mashati hivyo hivyo mwisho wa siku wataelewa kuwa chain nzima inapaswa kuanguka.
 
Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.

Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.

Jiandae tena Dec 9 .
Aiseeee ,amekosea sana kutoa kauli hii? wauaaji waliingia nchini kutoka nje ya nchi .Jeshi letu (jwtz) lilikuwa wapi? UHAMIAJI walikuwa waqpi? Tuko salama kiasi gani

DJ walete kati M23
 
Aiseeee ,amekosea sana kutoa kauli hii? wauaaji waliingia nchini kutoka nje ya nchi .Jeshi letu (jwtz) lilikuwa wapi? UHAMIAJI walikuwa waqpi? Tuko salama kiasi gani

DJ walete kati M23
Watandelea kujichanganya mwanzo mwisho
 
Hii ni mjawapo ya shida kuongea uongo pasipo hitajika, kuna wakati itahitajika uongee ukweli lakini unasahau kama ulidanganya before. Mwisho wa siku unaonekana mpuuzi.
 
Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.

Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.

Jiandae tena Dec 9 .
The function number one of a state is defense. If a state cannot defend its people, there shouldn’t be any government wasting taxpayers money in the first place!
 
iko hv jamii inajengwa kulingana na wap mmewekeza akil zenu , wao waliwekeza kweny wasanii wa ngono ili watz wote tuwe wajinga wakasahau na wao wapo kweny scene hii tuliyopo watz wengine , ww unaeza hisi hapo karopoka ila mwenzio ndo ukomo wa kufikiri huo
Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.

Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.

Jiandae tena Dec 9 .
 
Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.

Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.

Jiandae tena Dec 9 .
Huyu ndiye alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati Tundu Lissu anapigwa risasi 17, akasema gari jeupe hawajaliona, huyu ndiyo aliyesema miili iliyoko kwenye magunia zilizotupwa mitoni na baharini ni za wahamiaji kutoka Ethiopia.....Mbona hamkuirudhisha kwao Ethiopia? Hawa CCM wana uwezo mdogo sana wa kufikiri, huyo mama naye hivyo hivyo eti "Wanaoandamana wanatoka nchi jirani" Baadaye kidogo "Tumesikia walioandamana walilipwa" Very pathetic woman......CCM wamezoea kuwalipa watu wanaokuja kwenye mikutano yao, kwa hiyo kwa akili yao wanadhani kila mtu analipwa au anatumika. SHAME ON THEM
 
Back
Top Bottom