Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Aiseeee ,amekosea sana kutoa kauli hii? wauaaji waliingia nchini kutoka nje ya nchi .Jeshi letu (jwtz) lilikuwa wapi? UHAMIAJI walikuwa waqpi? Tuko salama kiasi ganiMpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.
Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.
Jiandae tena Dec 9 .
Watandelea kujichanganya mwanzo mwishoAiseeee ,amekosea sana kutoa kauli hii? wauaaji waliingia nchini kutoka nje ya nchi .Jeshi letu (jwtz) lilikuwa wapi? UHAMIAJI walikuwa waqpi? Tuko salama kiasi gani
DJ walete kati M23
The function number one of a state is defense. If a state cannot defend its people, there shouldn’t be any government wasting taxpayers money in the first place!Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.
Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.
Jiandae tena Dec 9 .
Hakuna ukweli wowote. Wameamua kuja na kauli za kuwachanganya watanzania huku mambo ya msingi wakiyakwepa.ndio maana watu wanamuamini Mange kimambi kuliko matapeli hawa,mpaka wabanwe ndiyo wanaongea ukweli
Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.
Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.
Jiandae tena Dec 9 .
Hata Mkuu wa majeshi atimuliwe.Kwahiyo Kamishina wa uhamiaji anasubiri nini kuwajibishwa?
Waendelee kushikana mashati hivyo hivyo mwisho wa siku wataelewa kuwa chain nzima inapaswa kuanguka.
Ndio maana yake, kumuangushia jumba bovu mmoja haiwezi kuwaokoa wengine kwenye mnyororo wa uwajibikaji.Hata Mkuu wa majeshi atimuliwe.
Huyu ndiye alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati Tundu Lissu anapigwa risasi 17, akasema gari jeupe hawajaliona, huyu ndiyo aliyesema miili iliyoko kwenye magunia zilizotupwa mitoni na baharini ni za wahamiaji kutoka Ethiopia.....Mbona hamkuirudhisha kwao Ethiopia? Hawa CCM wana uwezo mdogo sana wa kufikiri, huyo mama naye hivyo hivyo eti "Wanaoandamana wanatoka nchi jirani" Baadaye kidogo "Tumesikia walioandamana walilipwa" Very pathetic woman......CCM wamezoea kuwalipa watu wanaokuja kwenye mikutano yao, kwa hiyo kwa akili yao wanadhani kila mtu analipwa au anatumika. SHAME ON THEMMpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea.
Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa.
Jiandae tena Dec 9 .