Mwigulu apendekeza Nembo ya Yanga iwekwe kwenye pesa

Japo kuwa hapo Katia ucheshii/utani...

Lakini. Ukitazama, ukasikiliza hoja zake na utendaji wake, tafakuri.

Kisha unaambiwa huyu ndiye waziri wa uchumi... unashika Tama.

CCM Taifa mnalipeleka wapii..???

Taifa mnalivuruga sana... nchii hii imewaashinda.
 
Mnyiramba hajawahi kuwa na akili ni miongoni mwa kabila ovyo sana Tanzania,unategemea mtu anayetoka kabila hilo yukoje?
 
“Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba nitoe pongezi kwa Mama yetu kwa ubunifu huo ambao umeliletea Taifa letu sifa na heshima 164 kubwa katika nyanja ya michezo”

“Rai yangu kuwa tuendelee kuhamasisha michezo mingine ili Nchi yetu iweze kushiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na hatimaye kurudi na tuzo au makombe, aidha napenda kutumia fursa hii kuipongeza Timu ya YANGA kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini kwa mara ya tatu mfululizo na Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB”

“Yanga ni Wafalme wa soka la Tanzania, natamani kumshauri Gavana wa Benki kuu kuweka nembo ya klabu ya Yanga kwenye noti ya shilingi 100 kuyaenzi mafanikio haya” Dr. Mwigulu Nchemba.

#KitengeSportsView attachment 3016927
Wakishashinda champions league tutafanya hivyo. Lakini hii nbc na crdb, makombe ya kienyeji. Tunataka makombe ya kimataifa
 
“Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba nitoe pongezi kwa Mama yetu kwa ubunifu huo ambao umeliletea Taifa letu sifa na heshima 164 kubwa katika nyanja ya michezo”

“Rai yangu kuwa tuendelee kuhamasisha michezo mingine ili Nchi yetu iweze kushiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na hatimaye kurudi na tuzo au makombe, aidha napenda kutumia fursa hii kuipongeza Timu ya YANGA kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini kwa mara ya tatu mfululizo na Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB”

“Yanga ni Wafalme wa soka la Tanzania, natamani kumshauri Gavana wa Benki kuu kuweka nembo ya klabu ya Yanga kwenye noti ya shilingi 100 kuyaenzi mafanikio haya” Dr. Mwigulu Nchemba.

#KitengeSportsView attachment 3016927
Yangaaa......
 
Nakubali hoja ya waziri Nchemba, japo me sio shabiki wa Yanga ila hapa nakubali
 
Back
Top Bottom