Mwigulu apendekeza Nembo ya Yanga iwekwe kwenye pesa

Endeleeni kusikiliza maoni ya mwendawazimu kama huyo , nyie ndio mtakaogeuka kuwa wendawazimu.
 
Japo kuwa hapo Katia ucheshii/utani...


Lakini. Ukitazama, ukasikiliza hoja zake na utendaji wake, tafakuri.

Kisha unaambiwa huyu ndiye waziri wa uchumi... unashika Tama.


CCM Taifa mnalipeleka wapii..???

Taifa mnalivuruga sana... nchii hii imewaashinda.
 
Mnyiramba hajawahi kuwa na akili ni miongoni mwa kabila ovyo sana Tanzania,unategemea mtu anayetoka kabila hilo yukoje?
 
Wakishashinda champions league tutafanya hivyo. Lakini hii nbc na crdb, makombe ya kienyeji. Tunataka makombe ya kimataifa
 
Yangaaa......
 
Nakubali hoja ya waziri Nchemba, japo me sio shabiki wa Yanga ila hapa nakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…