Mwigulu atua na kuingia Kikomandoo mkoani Songwe Usiku huu

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean au waweza kumwita Mzalendo wa kweli Ametua na kuingia Kikomandoo Mkoani songwe Usiku Huu.

Ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya ziara nzito kwelikweli katika Mji wa Tunduma wilayani Momba Majira ya Asubuhi pamoja na Mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi Siku ya Kesho ya Tarehe 17.

Ambapo katika ziara hiyo Mheshimiwa waziri Mkuu wetu anatarajia kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wananchi na kupokea kero zao kupitia wawakilishi wao yaani wabunge na kuzijibu papo kwa papo kama ilivyo kawaida yake.

Ambapo tangia kutangazwa kwa ziara hiyo tayari wananchi mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa songwe wamejipanga kumiminika kwa wingi kumpokea na kumlaki Mr Clean Mzalendo wa kweli. Mitaani kote na vijiwe vyote maongezi na mazungumzo yote ya watu ni juu ya ujio na ugeni huo mzito wa Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu.

Kaeni kwa kutulia Nitawaleteeni habari na taarifa zote juu ya ziara yake hiyo pamoja na mikutano yake atakayoifanya .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
IMG-20251216-WA0047.jpg
 
Ukibahatika kumsogelea, mshauri anyoe yote ile mustachi make inazua taharuki kwa watazamaji na ni matumizi mabaya ya raslimali muda na pesa zetu walipa kodi. Haiwezekani jitu zima over 50yrs kila uchwao linafikiria kutinda masharubu.
 
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3516298
Kwanini kuongeza chumvi kwenye kila kitu,ipo sababu ipi ya kufanya hivyo
 
COMEDY.FUTUHI. tunataka majibu kwnn waliwapiga risasi wananchi,.?kwann wanateka na kuua raia.jbu kwanza HAYO MENGNE ANAYOFANYA NI SAWA NA FUTUHI
 
Ukibahatika kumsogelea, mshauri anyoe yote ile mustachi make inazua taharuki kwa watazamaji na ni matumizi mabaya ya raslimali muda na pesa zetu walipa kodi. Haiwezekani jitu zima over 50yrs kila uchwao linafikiria kutinda masharubu.
Kwenda zako huko wewe uliyekosa akili
 
Back
Top Bottom