Mwigulu atua na kuingia Kikomandoo mkoani Songwe Usiku huu

Kwenda zako huko wewe uliyekosa akili
Mimi nina akili kuliko wewe na huyo savimbi mkumbo madelu.
Sikufeli std VII kama wewe na madelu.

Mwambie madelu anyoe masharubu ni uchafu na anadhalilisha Bendera ya Taifa kuvaa scalf/tai yenye rangi za bendera huku akipenga kamasi zinaning'inia na kubaki kwenye mijisharubu uchwala.

Umri na wadhifa wake haipendezi kuigaiga mambo.
Mbona huko nyuma hakuwa hivyo?!
 
Huna akili wala uwezo wa kujifananisha na Mr Clean au mimi.
 

Wasipokupa ukuu wa Wilaya Mwaka huu basi tafuta mganga mwingine
 
Mpaka Leo hii nafuatilia hotuna za uncle Magufuli na zinaishi, na baada ya yeye sidhani nimewahi fuatilia Tena mwingine!
 
Last 5 year who was he na alikuwa wapi kutatua changamoto. Atutalie ya.maji kikomandoo
Amefanya kazi kubwa sana katika Taifa letu. Kusifiwa tunakosifiwa na Mataifa mbalimbali kunatokana na kazi nzuri na tukuka iliyofanywa na mr Clean akiwa waziri wa fedha
 
Kwanini mtoa maada hapigwi ban ikiwa analeta propaganda za ccm ambao kwa makusudi wamefungia JF...pumbafu Mwanshambwa
 
Unaona sifa kusifia waovu
Huo muda unaosifia watu
Kwa nn usingemsifia Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…