Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

Mwigulu awahakikishia Mabalozi kuwa Serikali iko katika hatua za kupunguza viwango vya kodi zinazotozwa

Ila kutuongezea sisi Kodi kwenye bidhaa muhimu hiyo ni sawa?
Sisi safari hii lazima Cha Moto tukione, maana aliyekua anaweza kubana hao Wageni hayupo tena! Kwa hiyo tunarudi kwenye Maisha ya masikini kubanwa kila Kona,na Matajiri kuishi bila kulipa Kodi!!
 
Back
Top Bottom