Mwigulu damu za watanzania mliowaua zinakulilia. Umeanza kuchangamka

Mwigulu damu za watanzania mliowaua zinakulilia. Umeanza kuchangamka

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Kwa kauli hii, ni dalili karma imeanza kukutafuna.

IMG-20251230-WA0002.jpg

Soma hapo kwenye box.

Mazombi kama kawaida wanaenda kuwateka huo ukoo
 
Nchi imetekwa na wahuni. Jeshi na polisi wamesaidia huu uhaini
 
Huna hili wala lile unawaza unapata wapi ela ya kula mwaka mpya kumbe kuna chizi mzee wa burundi kaagiza ukoo mzima mdakwe kisa ndugu yako wa mbali kamuibia mtu.
 
Halafu polisi walivyo wajinga na wapumbavu, hawatajali wala kuangalia sheria, katiba na PGO yao inasema nini kuhusu kutekeleza amri hiyo haramu kutoka kwa mwanasiasa mwehu na mwendawazimu Mwigulu Nchemba!!

Na ushangae kweli wakaanza kuusaka ukoo wote na Arusha yote ikafunguliwa mashitaka ya uhaini wa Tshs 600M za nduguye Meigulu Nchemba🤔
 
Back
Top Bottom