Mwigulu: Hao wanaotoka kwenye mataifa yao, wanadhani sisi bado ni makoloni yao, wanatuletea vingereza vingi vingi...

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Your browser is not able to display this video.

Waziri Mkuu Mwigulu ameyasema hayo leo Wilaya ya Karatu wakati wa ziara ya kikazi, akiwa anamzungumzia mkandarasi wa kigeni aliyepewa kujenga mradi wa umwagilia na kushindwa kuutekeleza, na aliambiwa kunyang'anywa akaishtaki Serikali
 
So mnamnyang'a vipi kiholela !? Kama wanataka kuvunja nae mkataba silazima wamlipe ??

Haiwezekani ashindwe tu kuutekeleza huwenda serikali husika ilikuwa inashindwa kutoa pesa za mradi Kwa wakati so walitaka afanyaje !?
 
Inaonekana kuna pisi kali sana huko Karatu na tena ziko natural hazijajikanda kanda ma make up kama akina Uwoya, Natural beauty *****πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Kitendo tu cha kumtafuta mkandarasi wa kigeni manayake wakandarasi wetu hawana uwezo. Huyo mkandarasi awajibishwe kwa mujibu wa sheria na si kwa mujibu wa ubeberu wake.
 
Huyu naye kama amechanganyikiwa kwa uropokaji huu.
 
too bad kuna namna style ya uongozi unaopendwa hapa nchini ni hule wa mihemko
 
Naona Mwigulu anajifanya kumuiga Magufuli akitegemea atapata mvuto. Kila mtu ana style yake ya uongozi, ukiiga ya mwenzako utapasuka msamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…