Mwigulu inatosha kumchonganisha Rais na wananchi

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Mwigulu huyu huyu juzi bungeni amesema mikutano ya hadhara iliyoruhusiwa ni takwa la wafadhili ili tupate mikopo ya MCC na tayari tutaanza kupokea mikopo hiyo...wakati watanzania wote walijua mikutano ya hadhara ni zao la utawala wa Rais na wapinzani kupitia maridhiano.

Mwigulu huyu huyu tena leo anakuja na kauli kwa malipo yote yaliyofanyika ya wizi ndani ya serikali yanaidhishwa na rais...

kweli hadi sasa anastahili kuendelea kubaki kwenye hicho kiti kwa uchonganishi huu anaofanya kwa wananchi ....

Iko siku tutamkumbuka huyu Mwamba Chalamila ni suala la muda tu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…