Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake.
Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa la saba, wengine form four na pia wapo wenye digrii moja, mbili na PhD wote wako sawa na wanawakilisha wananchi wao bila kijali viwango vya elimu yao.
Mwigulu ameonyesha udhaifu na ulimbukeni wa kiwango kikubwa kwa kudhani PhD yake ni kila kitu katika maisha ya wananchi. Tunamtaka Mwigulu ajibu hoja za wabunge na asilete vioja bungeni kwa kuwazuia kwa vitisho wasiihoji serikali eti tu kwa sababu wana viwango vya chini vya elimu!