Mwigulu jibu hoja za wabunge, PhD yako isiwe kinga ya kukwepa hoja!

Uchawa ulianzishwa na JPM mwenyewe kwa kupenda mno kusifiwa na kila mtu kila alipokwenda.

Zile siasa za kutaja majina yote manne za kusema John Joseph Pombe Magufuli ulikuwa mwanzo wa uchawa wenyewe.
Eti 'rais wetu mpendwa mzalendo namba moja mheshimiwa dokta John pombe Joseph magufuli mwenyekiti wa chama Cha mambuzi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yet ya ulinzi na usalama'.
Huko america nasikia tu president Joe Biden. Kenya nasikia rais Kenyatta. Kalonzo na Raila simply wanamwita Uhuru.
Hawa wabunge wetu tunawalipa kwa kukaa pale Dodoma wajadili mambo yenye tija kwa taifa, badala yake wanatumia 25% ya muda kumsifia binadamu mwenzao.
 
Na bahati mbaya sana wanaoabudiwa hawakemei tabia hii mbovu!
 
Walifanya kosa kubwa sana kumpa huyu jomba hiyo nafasi
 
Jana kakana haja watukana wabunge kuwaambia wajadili uganga.
 
Back
Top Bottom