Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Angalie wasicheze na chanel o hukoNipo huku SA. Hawa jamaa wamekuwa waduanzi sana. Wanatusimanga kwa maneno ya hovyo utadhani baba yao naye ana kitu cha maana.
Wanasema mama yenu ana IQ ya 40. Nawatizama nawatukana kimoyo moyo mbwa hawa. Jana tumekaa na boya moja tunajadiliana anasema nyie mliwahi kuwa na Baba mtandao mchafu ukamwondoa. Since then mmekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa. Hamweleki.
Sasa likaja suala la kuzungumzia siasa. Maana huko juu tulikuwa tunazungumzia familia akisema mama yenu nami nikimjibu baba yenu.... Basi tukaachana na mambo ya family maana alinikwaza kusema mama yenu ana IQ ya 40. Just imagine? 40? Akutukanaye hakuchagulii tusi. Nlimwambia na yeye baba yao ana IQ ya 100. Kumrudishia matusi.
Kwenye siasa sasa. Nikamwona Mwigulu. Aiseee.... Hajui hata alifanyalo ni wa kumsamehe. Hana mvuto hajui kuongea ana bore hana nguvu ya kimatamko. Hovyo kabisa. Hata mwaka hajamaliza watu wamemweka kwenye ignored list. Hatari sana. Nimepambana na huyu Diplomats wa Kisouth Africa kwa nguvu na uchungu mwingi. Maana analeta dharau. Nikasema moyoni nita deal na dada zake haina shida
kwa mwigulu ni sawa aisee jamaa bora angebaki wizara ya fedha na PM angekuwa Paul Christian Makonda
Hizo ndio tabia za diplomats aina ya LusungoNipo huku SA. Hawa jamaa wamekuwa waduanzi sana. Wanatusimanga kwa maneno ya hovyo utadhani baba yao naye ana kitu cha maana.
Wanasema mama yenu ana IQ ya 40. Nawatizama nawatukana kimoyo moyo mbwa hawa. Jana tumekaa na boya moja tunajadiliana anasema nyie mliwahi kuwa na Baba mtandao mchafu ukamwondoa. Since then mmekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa. Hamweleki.
Sasa likaja suala la kuzungumzia siasa. Maana huko juu tulikuwa tunazungumzia familia akisema mama yenu nami nikimjibu baba yenu.... Basi tukaachana na mambo ya family maana alinikwaza kusema mama yenu ana IQ ya 40. Just imagine? 40? Akutukanaye hakuchagulii tusi. Nlimwambia na yeye baba yao ana IQ ya 100. Kumrudishia matusi.
Kwenye siasa sasa. Nikamwona Mwigulu. Aiseee.... Hajui hata alifanyalo ni wa kumsamehe. Hana mvuto hajui kuongea ana bore hana nguvu ya kimatamko. Hovyo kabisa. Hata mwaka hajamaliza watu wamemweka kwenye ignored list. Hatari sana. Nimepambana na huyu Diplomats wa Kisouth Africa kwa nguvu na uchungu mwingi. Maana analeta dharau. Nikasema moyoni nita deal na dada zake haina shida
Yaan makonda angekuwa PM?kwa mwigulu ni sawa aisee jamaa bora angebaki wizara ya fedha na PM angekuwa Paul Christian Makonda
Sasa mkuu kama ulidate nae wewe akakuacha unadhani kila mtu ana tabia kama zako za kudate na wanaume wenzie? unasema munch wa annabelle kuwa ni punga kumbe na wewe ni walewale mlichukuliana mabwana ha ha haNa wewe nawe chenga sana. Yaani unaleta takataka zaidi sababu tu una date na huyo mtu? Mmekutana wote vilaza. Unataka mabwana zako wapewe nafasi nyeti?
mpaka mda huu angewasha sana motoYaan makonda angekuwa PM?
Sasa mkuu kama ulidate nae wewe akakuacha unadhani kila mtu ana tabia kama zako za kudate na wanaume wenzie? unasema munch wa annabelle kuwa ni punga kumbe na wewe ni walewale mlichukuliana mabwana ha ha ha
Ushangae wewe sasa. Nimesikitika kuna watu elimu hawana kabisa. Huyu dogo nlikuwa namwona afadhali afadhali lakini kumbe ndo yale yale matakatakaYaan makonda angekuwa PM?
kwa mwigulu ni sawa aisee jamaa bora angebaki wizara ya fedha na PM angekuwa Paul Christian Makonda
kwa mwigulu ni sawa aisee jamaa bora angebaki wizara ya fedha na PM angekuwa Paul Christian Makonda
Kuwa nyumbu ndo kuwa na Elimu? Unachekesha😂😂😂 nini maana ya Elimu?Ushangae wewe sasa. Nimesikitika kuna watu elimu hawana kabisa. Huyu dogo nlikuwa namwona afadhali afadhali lakini kumbe ndo yale yale matakataka
Bora msukuma awe Rais kuliko makonda kuwa PM.....labda awashe moto nyumba unayoishi mkuu.mpaka mda huu angewasha sana moto
Siku zote ukweli una tabia ya kuuma, chukaze tu chief.Nipo huku SA. Hawa jamaa wamekuwa waduanzi sana. Wanatusimanga kwa maneno ya hovyo utadhani baba yao naye ana kitu cha maana.