Mwigulu: Msiseme mimi ni zaidi ya Magufuli, mnawatisha Watu!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu Wananchi kusema yeye ni zaidi ya Hayati Magufuli kwani inawatisha watu "...Yule dada anasema huyu ni zaidi ya Magufuli. Usiwatishe watu bwana, maana hivi tu wana.....

Ametoa kauli hiyo Juni 5, 2026 wakati anazungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu jamaa ameshavimba madaraka mapema hivi ? Hivi ameshawahi hata kukaa na Majaliwa ampe ABC za utandaji ukuu ?
 
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu Wananchi kusema yeye ni zaidi ya Hayati Magufuli kwani inawatisha watu, maana hivi tu wana
Hehehe Sinema kwenye hili Taifa haziishi.

Nikikuta mna abudu Punda, mimi nitawaletea majani.

HAKIKA NI ZA KWETU.
 
Mjinga huyo, anaona ndio kacheza bonge la mindgames. Anajipa promo mwenyewe akiamini kila mtanzania alikuwa anamkubali Magufuli. Toka muda mrefu alikuwa anafanya kumuigiza Magufuli, ameona hasemwi hivyo anajibrandisha mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…