Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Kwani tunaishi nyumbani KWAKO?😄😄😄Mwigulu + Magufuli = Hatuwataki.
Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.Siasa za Iramba uchaguzi huu zinatakuwa kuwa kama za Kyela 2010 ilikuwa ni balaa JF.
Haya ndio mambo yaliyomfanya Mwigulu aende Nigeria kuonana na T.B Joshua kutwa watu kumuwangia kwa maneno yake sio yangu.
Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Watanzania wengi bado tunakuitaji tu kiongozi.Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Tunakuitaji= TunakuhitajiWatanzania wengi bado tunakuitaji tu kiongozi.
Kitila is not sickSasa kwani nyie CCM mnawaza ubunge wakati huyo dk Mkumbo ajapona corona
What you choose to believe is not my problem mate.Tunakuitaji= Tunakuhitaji
Kama hata kuandika ni shida basi inatosha kusema kuwa wewe uko katika lile kundi la Watanzania wasio na elimu wala uelewa juu ya utapeli wa wanasiasa.
Shangali!kwenye siasa zenu za majitaka hebu anzeni na ile ishu yake ya kufeli darasa la saba na kuiba jina kwenda kusomea shule yeye akiwa mzee akasoma na watoto anaoweza kuwazaa!! na watoto wadogo wakamburuza!! waombeni waliosoma nae wawape picha za mahafali ya form four mcheke , baba mzima anavaa taji kama movie ya adult education!! huyu ana damu za kihalifu! akiweza kuchomoa hilo mtambwaga!
naomba nikiri binafsi sioni faida ya wabunge for me ni waste of funds kupitia uchaguzi kampeni, mikopo ya NSSF na masurufu yao! nilisikia mbunge mmoja kalipwa tsh 500m na ukienda kwa wapigakura wake bush ni watu masikini sana wamepauka! hawana hata maji ya bomba, maisha ya watu Africa kwa mamilioni ni duni sana kuna maeneo mengi bado vumbi tupu, watu wengi wanazaliwa kwenye umaskini wanafia kwenye umaskini!huduma za afya ni afadhali ila kulipia dawa uwezo hakuna! watu wengi wana lishe duni, kuvaa nguo moja!
nadhani Africa ilikurupuka kuiga wazungu kuvamia theory of separation of power!! binafsi nadhani tulihitaji seasonal meetings of law making tu na permanent mahakama na executive.
Vipi!? Umeshawapelekea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya corona!?.Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Mkuu yale mawe vipi yatapendeza tena mwaka huu?Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Meona ee!Hii yote ni vita ya masilahi, wanasiasa wajanja sana, wanapotafuta cheo wanaongea utafikiri kweli wana shida na maendeleo ya watu!
huwa napenda sana kushare my own theory, na hii ni from my personal experience, yani ukiwa na boss halafu ukamuona boss wako ni weak na ukapanga sasa akupishe au akitoka iwe zamu yako ukiamini utafanya makubwa zaidi yake kuwaonesha watu wewe si wa mchezo ni Genius basi ndugu yangu Amini nakuambia ‘you will never get that chance’! sababu huwezi kujua ndani ya kapu la boss wako kuna nini na kwanini he is acting that way!!
mamba mnamjua nyie 😢😢😢atawamambalise ohoooo!!!Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020
Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini?
Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo.
Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja na gari zuri la kibunge ni kodi ya wananchi wanyonge, bodaboda, mama ntilie, wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi.
Anayefahamu kuwa yeye si kitu mbele ya walipakodi wa Iramba na Chama Cha Mapinduzi
Anayefanya kazi ya ubunge kwa kuheshimu katiba kama sura ya tatu ya katiba ya nchi ilivyowekwa.
Pamoja na mambo mengine ibara ya 65 ya katiba ya nchi, imeeleza kuwa maisha ya bunge,dhana yake ni kwamba, muda mbunge kushika madaraka ni miaka 5.
Pia ibara ya 65(2) imehalalisha uchaguzi baada ya miaka 5.
Hivyo mbunge kama Mwigulu anayechukia uchaguzi, ambaye anachukia watanzania watia nia, anayetamani awe mbunge milele, mroho wa madaraka, mwenye kuona kama Iramba ameiweka mfukoni mwake, wengine wote malofa, anayetumia ubunge kama duka la familia yake, anayetumia ubunge kama fimbo ya kudhalilisha watoto wa shule kingono, anayetumia ubunge kama uwanja wa majigambo, anayetumia ubunge kuchukua mali na fedha za wananchi bure, anayetumia ubunge kugawa mali za Iramba kwa jamaa na marafiki zake, anatumia ubunge kama zana ya kuabudiwa, kutisha watu, anayetumia ubunge kudhalilisha watu na kuonea watu na hata kuwafunga, anayetumia ubunge kuuwa watu, anayetumia ubunge kuleta utawala wa kifalme Iramba,
Ni ukiukwaji mkubwa wa katiba na haki za binadamu na utawala bora.
Ubunge sio mali ya babake na mamake, mwanairamba yeyote ana haki ya kuwa mbunge na atafanya vizuri mara 100 zaidi ya huyu mwigulu mkoloni na mnyonyaji mweusi mwenzetu.
Uongozi wa Mwigulu hautofautiani na wa wakoloni, walioamini nchi yetu ni mali yao, na sisi hatuna haki nayo, vivyo hivyo anajiaminisha na wapumbavu wenzake kuwa iramba ni mali yao, wasahau, hili alikubaliki,2020 mwigulu a new colonialist in iramba must go, enough is enough.
For how
View attachment 1424589
Madilu, kwanini usijiajiri tu? Nadhani huu ndio wakati muafaka wa kuonesha umahiri wako katika masuala ya uchumi kwa vitendo.Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.