guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
ahahaha,shikamoo mbunge wangu,miye kijana wako yule mpwa wake na Kilimba wa Bambalaga,mwaka huu nagombea uduwani kata ya Tulya niunge mkonoKwani tunaishi nyumbani KWAKO?😄😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaha,shikamoo mbunge wangu,miye kijana wako yule mpwa wake na Kilimba wa Bambalaga,mwaka huu nagombea uduwani kata ya Tulya niunge mkonoKwani tunaishi nyumbani KWAKO?😄😄😄
Kampeni zimeanza mapema kinyume na taratibu, kuna nini hapa?Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020
Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini?
Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo.
Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja na gari zuri la kibunge ni kodi ya wananchi wanyonge, bodaboda, mama ntilie, wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi.
Anayefahamu kuwa yeye si kitu mbele ya walipakodi wa Iramba na Chama Cha Mapinduzi
Anayefanya kazi ya ubunge kwa kuheshimu katiba kama sura ya tatu ya katiba ya nchi ilivyowekwa.
Pamoja na mambo mengine ibara ya 65 ya katiba ya nchi, imeeleza kuwa maisha ya bunge,dhana yake ni kwamba, muda mbunge kushika madaraka ni miaka 5.
Pia ibara ya 65(2) imehalalisha uchaguzi baada ya miaka 5.
Hivyo mbunge kama Mwigulu anayechukia uchaguzi, ambaye anachukia watanzania watia nia, anayetamani awe mbunge milele, mroho wa madaraka, mwenye kuona kama Iramba ameiweka mfukoni mwake, wengine wote malofa, anayetumia ubunge kama duka la familia yake, anayetumia ubunge kama fimbo ya kudhalilisha watoto wa shule kingono, anayetumia ubunge kama uwanja wa majigambo, anayetumia ubunge kuchukua mali na fedha za wananchi bure, anayetumia ubunge kugawa mali za Iramba kwa jamaa na marafiki zake, anatumia ubunge kama zana ya kuabudiwa, kutisha watu, anayetumia ubunge kudhalilisha watu na kuonea watu na hata kuwafunga, anayetumia ubunge kuuwa watu, anayetumia ubunge kuleta utawala wa kifalme Iramba,
Ni ukiukwaji mkubwa wa katiba na haki za binadamu na utawala bora.
Ubunge sio mali ya babake na mamake, mwanairamba yeyote ana haki ya kuwa mbunge na atafanya vizuri mara 100 zaidi ya huyu mwigulu mkoloni na mnyonyaji mweusi mwenzetu.
Uongozi wa Mwigulu hautofautiani na wa wakoloni, walioamini nchi yetu ni mali yao, na sisi hatuna haki nayo, vivyo hivyo anajiaminisha na wapumbavu wenzake kuwa iramba ni mali yao, wasahau, hili alikubaliki,2020 mwigulu a new colonialist in iramba must go, enough is enough.
For how
View attachment 1424589
mkuu punguza povuMwigulu kawadanganye wasiokujua
Huna chako Iramba
haaaa haaa za ntondo muntua,mlamukye JoshuaKwani tunaishi nyumbani KWAKO?😄😄😄
ahahaha,shikamoo mbunge wangu,miye kijana wako yule mpwa wake na Kilimba wa Bambalaga,mwaka huu nagombea uduwani kata ya Tulya niunge mkono
Orodhesha makosa nduguMwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020
Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini?
Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo.
Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja na gari zuri la kibunge ni kodi ya wananchi wanyonge, bodaboda, mama ntilie, wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi.
Anayefahamu kuwa yeye si kitu mbele ya walipakodi wa Iramba na Chama Cha Mapinduzi
Anayefanya kazi ya ubunge kwa kuheshimu katiba kama sura ya tatu ya katiba ya nchi ilivyowekwa.
Pamoja na mambo mengine ibara ya 65 ya katiba ya nchi, imeeleza kuwa maisha ya bunge,dhana yake ni kwamba, muda mbunge kushika madaraka ni miaka 5.
Pia ibara ya 65(2) imehalalisha uchaguzi baada ya miaka 5.
Hivyo mbunge kama Mwigulu anayechukia uchaguzi, ambaye anachukia watanzania watia nia, anayetamani awe mbunge milele, mroho wa madaraka, mwenye kuona kama Iramba ameiweka mfukoni mwake, wengine wote malofa, anayetumia ubunge kama duka la familia yake, anayetumia ubunge kama fimbo ya kudhalilisha watoto wa shule kingono, anayetumia ubunge kama uwanja wa majigambo, anayetumia ubunge kuchukua mali na fedha za wananchi bure, anayetumia ubunge kugawa mali za Iramba kwa jamaa na marafiki zake, anatumia ubunge kama zana ya kuabudiwa, kutisha watu, anayetumia ubunge kudhalilisha watu na kuonea watu na hata kuwafunga, anayetumia ubunge kuuwa watu, anayetumia ubunge kuleta utawala wa kifalme Iramba,
Ni ukiukwaji mkubwa wa katiba na haki za binadamu na utawala bora.
Ubunge sio mali ya babake na mamake, mwanairamba yeyote ana haki ya kuwa mbunge na atafanya vizuri mara 100 zaidi ya huyu mwigulu mkoloni na mnyonyaji mweusi mwenzetu.
Uongozi wa Mwigulu hautofautiani na wa wakoloni, walioamini nchi yetu ni mali yao, na sisi hatuna haki nayo, vivyo hivyo anajiaminisha na wapumbavu wenzake kuwa iramba ni mali yao, wasahau, hili alikubaliki,2020 mwigulu a new colonialist in iramba must go, enough is enough.
For how
View attachment 1424589
Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020

Mbona kama umepaniki?
Kwenye siasa ukipaniki unapigwa asubuhi
Kwa hii panic Mwigulu atawashinda
Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi katika maisha yangu yote, sijawahi kumsikia Mh. Mwigulu Nchemba akimpinga Rais, except shauri chache tu kwa Serikali ambazo nazo ni positive sana. Kama una mtu ambyae unamhitaji kwenye jimbo la huyu bwana, mpigie tu kampeni za kistaarabu. Usiwe na tabia ya kuwa unachafua viongozi ambao wamewahi kushika nyadhifa kubwa Serikalini, hata kama hawana nyadhifa hizo kwa sasa. Angalia mfano wa Mh. Simbachawene uwe mfano kwako. Chafua walioko jela, kama wapo!Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020
Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini?
Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo.
Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja na gari zuri la kibunge ni kodi ya wananchi wanyonge, bodaboda, mama ntilie, wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi.
Anayefahamu kuwa yeye si kitu mbele ya walipakodi wa Iramba na Chama Cha Mapinduzi
Anayefanya kazi ya ubunge kwa kuheshimu katiba kama sura ya tatu ya katiba ya nchi ilivyowekwa.
Pamoja na mambo mengine ibara ya 65 ya katiba ya nchi, imeeleza kuwa maisha ya bunge,dhana yake ni kwamba, muda mbunge kushika madaraka ni miaka 5.
Pia ibara ya 65(2) imehalalisha uchaguzi baada ya miaka 5.
Hivyo mbunge kama Mwigulu anayechukia uchaguzi, ambaye anachukia watanzania watia nia, anayetamani awe mbunge milele, mroho wa madaraka, mwenye kuona kama Iramba ameiweka mfukoni mwake, wengine wote malofa, anayetumia ubunge kama duka la familia yake, anayetumia ubunge kama fimbo ya kudhalilisha watoto wa shule kingono, anayetumia ubunge kama uwanja wa majigambo, anayetumia ubunge kuchukua mali na fedha za wananchi bure, anayetumia ubunge kugawa mali za Iramba kwa jamaa na marafiki zake, anatumia ubunge kama zana ya kuabudiwa, kutisha watu, anayetumia ubunge kudhalilisha watu na kuonea watu na hata kuwafunga, anayetumia ubunge kuuwa watu, anayetumia ubunge kuleta utawala wa kifalme Iramba,
Ni ukiukwaji mkubwa wa katiba na haki za binadamu na utawala bora.
Ubunge sio mali ya babake na mamake, mwanairamba yeyote ana haki ya kuwa mbunge na atafanya vizuri mara 100 zaidi ya huyu mwigulu mkoloni na mnyonyaji mweusi mwenzetu.
Uongozi wa Mwigulu hautofautiani na wa wakoloni, walioamini nchi yetu ni mali yao, na sisi hatuna haki nayo, vivyo hivyo anajiaminisha na wapumbavu wenzake kuwa iramba ni mali yao, wasahau, hili alikubaliki,2020 mwigulu a new colonialist in iramba must go, enough is enough.
For how
View attachment 1424589
nccr
Mrudisheni Ben la sivyo corona inawafagia wote mliohusika!!Kidugu, Or else he should bring BEN SAA NANE back
Mayu kumbe leo umejitokeza! Hivi unajisikiaje hapa JF ubunge wako umezusha mjadala sana na watu wamekuwa wakikupinga na wengine hata kukushauri ujaribu kujisahaulisha siasa kwa muda kidogo. Kwa nini unaingia malumbano kuonesha kama vile una uchu ma madaraka kama fisi kaona mzoga? Hebu jitafakari mayu, onesha uanaume, acha uchaguzi huu ujipitie kivyake, we rudi 2025 hata kura yangu na ya watu wa kuku Simbalungwala wote watakupigia. We shuapaza shingo tu lkn hata hapa Simbalungwala asimilia zaidi ya 70 hawakutaki tena isipokuwa ndugu zako tu.Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Mwigulu Hana shughuli ya kufanya nje na ubunge, amezoea kutumia ubunge kama chaka la kujifichiaMayu kumbe leo umejitokeza! Hivi unajisikiaje hapa JF ubunge wako umezusha mjadala sana na watu wamekuwa wakikupinga na wengine hata kukushauri ujaribu kujisahaulisha siasa kwa muda kidogo. Kwa nini unaingia malumbano kuonesha kama vile una uchu ma madaraka kama fisi kaona mzoga? Hebu jitafakari mayu, onesha uanaume, acha uchaguzi huu ujipitie kivyake, we rudi 2025 hata kura yangu na ya watu wa kuku Simbalungwala wote watakupigia. We shuapaza shingo tu lkn hata hapa Simbalungwala asimilia zaidi ya 70 hawakutaki tena isipokuwa ndugu zako tu.