Uchaguzi 2020 Mwigulu must go

Mwigulu majibu unayotoa hayaendani na wewe
 
ahahaha,shikamoo mbunge wangu,miye kijana wako yule mpwa wake na Kilimba wa Bambalaga,mwaka huu nagombea uduwani kata ya Tulya niunge mkono
Mwigulu kawadanganye wasiokujua
Huna chako Iramba
 
Kampeni zimeanza mapema kinyume na taratibu, kuna nini hapa?
 
Orodhesha makosa ndugu
 
Mpumzisheni mmemsema sana bwana madelu kama ipo ipo tu mtakua mnamuongezea pumzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kachukue fomu ugombee uwakombowe[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Kitila mwenyewe hafai, bora Mwigulu. Naona tangu awe Dkt. amebadilika sana huyu Mwigulu. Huyo Kitila aache figisu hata kama anabebwa na Jiwe
 
Mimi katika maisha yangu yote, sijawahi kumsikia Mh. Mwigulu Nchemba akimpinga Rais, except shauri chache tu kwa Serikali ambazo nazo ni positive sana. Kama una mtu ambyae unamhitaji kwenye jimbo la huyu bwana, mpigie tu kampeni za kistaarabu. Usiwe na tabia ya kuwa unachafua viongozi ambao wamewahi kushika nyadhifa kubwa Serikalini, hata kama hawana nyadhifa hizo kwa sasa. Angalia mfano wa Mh. Simbachawene uwe mfano kwako. Chafua walioko jela, kama wapo!
 
Na nyie mnatushosha hebu kufeni na li chama lenu, watu tupo na hili janga la corona nyie mnafikiria majimbo...hivi watu wakifa wote hayo majimbo mtakwenda kuyagawania mbiguni?
 
Aende mbinguni akapeleke ushahidi wake wa ugaidi kwanza mbwa huyo
 
Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Mayu kumbe leo umejitokeza! Hivi unajisikiaje hapa JF ubunge wako umezusha mjadala sana na watu wamekuwa wakikupinga na wengine hata kukushauri ujaribu kujisahaulisha siasa kwa muda kidogo. Kwa nini unaingia malumbano kuonesha kama vile una uchu ma madaraka kama fisi kaona mzoga? Hebu jitafakari mayu, onesha uanaume, acha uchaguzi huu ujipitie kivyake, we rudi 2025 hata kura yangu na ya watu wa kuku Simbalungwala wote watakupigia. We shuapaza shingo tu lkn hata hapa Simbalungwala asimilia zaidi ya 70 hawakutaki tena isipokuwa ndugu zako tu.
 
Mwigulu Hana shughuli ya kufanya nje na ubunge, amezoea kutumia ubunge kama chaka la kujifichia
Hana maisha nje na siasa
Kawa Mpinga mizinga tuu now
Marafiki wote wamemkimbia
Na pesa hakuna
Laana inamla huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…